fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Mpaka unaamua kuoa manaake you are aware and ready to face what's called "unfaithfulness in marriage". Then be strong when it comes to cheatingusilanganishe mchepuko na mke bwamdogo ....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka unaamua kuoa manaake you are aware and ready to face what's called "unfaithfulness in marriage". Then be strong when it comes to cheatingusilanganishe mchepuko na mke bwamdogo ....
Kama nakuunga mkono hiviNdo tatizo la kutokuwa na michepuko hilo ,jamaa angekuwa na michepuko wala asingewaza chochote angamtema kiroho safi na kuendelea na maisha
Kwakweli inatisha aisee na wanatutishaMnatutisha sasa tusioe jaman
..................Hii yote inatokana na huu ujinga “Mke wangu anafanya kazi ili tusaidiane maisha”!!!well atakusaidia mpaka kuwahi kuuona udongo na eleweni hakuna duniani kitu kama hiko.
Vijana mkiendelea kukimbia majukumu yenu mliyoandikiwa kwamba mtatafuta ridhiki za familia zenu huku wake zenu mliowaowa wakiwazalia watoto na kuwaangalia kwa ukaribu majumbani mwenu basi mtagongewa sana na mtakufa na kuuwa mpaka akili zenu ziwakae sawa.
Kizazi hiki kinataka kupambana na nature jambo ambalo ni kosa kubwa sana
Braza kosa halihalishi kosa elewa mwanamke anayefanya kazi ana nafasi kubwa sana ya kugongwa mpini kutokana na anazo opportunities nyingi sana atakazoahidiwa na akaziamini kutokana na wale wanomwuahidi anaona kweli wanaweza kumpa pia kutokana na kuona kweli ana-fit ktk kile alichoahidiwa so haoni hatari kuchanua paja.Kuna mdau juu hapo katoa ushuhuda mtaani kwao dogo anamgonga mke wa mtu mama wa nyumbani
Sidhanii kama ni rahisi hivyoNdo tatizo la kutokuwa na michepuko hilo ,jamaa angekuwa na michepuko wala asingewaza chochote angamtema kiroho safi na kuendelea na maisha
Guilt conciousness itammaliza....Unajua Mungu ni wa ajabu sana, haya yote aliyaona. Kuna kitu kinaitwa HATIA!!!! Utakuwa na mali zote za marehemu, utapanda cheo, nk, nk. Lakin hakuna Furaha ya Maisha, hakuna Amani. Nafsi itazungumza na wewe
Hivi wewe jamaa huwa ni mtaalamu wa fani gani? (kama hutajali). Huwa unachangia kwenye mambo ya kisheria kwa kujiamini halafu unatoa maboko ya kufa mtu.Hakuna Cha contribution Kama mumeoana.Mama hata Kama ni Mama wa nyumbani mnagawana sawa yeye anafanya kazi za nyumbani wewe kazini wote mnafanya kazi.Mgao nusu kwa nusu
Shida sio kumsomesha, Kama umepata mke asiefaa hata akae nyumbani tu ufunge nyumba na kufuli bado atachoropoka.Hivi nyie wavulana mna shida gani kila siku mnaambiwa mwanamke asomeshwi amsikii matokeo yake mnaanza kuibiana penseli aya ngoja mnyooshwe sasa
Shida sio mke kufanya Kazi au kutofanya shida ni mke kuwa aliolewa na mtu asiempenda na pia mke kuwa mwenye Tamaa kupitiliza...................Hii yote inatokana na huu ujinga “Mke wangu anafanya kazi ili tusaidiane maisha”!!!well atakusaidia mpaka kuwahi kuuona udongo na eleweni hakuna duniani kitu kama hiko.