Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Hakuna lolote story za kutengeneza kupoteza watu maboya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu 3some inaliwa ukiwa na free minded.Totoz zimejaa UDOM jamaa angekua anajifariji kwa kupiga threesome daily tena kwa hela ndogo tu unaendana nao hadi ngorongoro....hivi haya maisha watu hawajuagi namna ya kuyala eh..
Umesema kwa msaada zaidi!?Siku zote nasema.
Oa rafiki yako
Oa mtu wa kwenu
Oa mwanamke msiyepishana umri sana
Mila na desturi zizingatiwe
Usioe ukoo au jamii yenye malaya wengi
Usioe mwanamke mpumbavu
Usioe ili umalize matatizo yako ya pesa
Kwa ushauri zaidi njoo pm
Kwa mujibu wa sheria ipi na ya Nchi gani?Hakuna Cha contribution Kama mumeoana.Mama hata Kama ni Mama wa nyumbani mnagawana sawa yeye anafanya kazi za nyumbani wewe kazini wote mnafanya kazi.Mgao nusu kwa nusu
Asichokijua ni kwamba wanaangalia mali walizochuma wakiwa pamoja na ushiriki wa kila mmoja kwenye kuchuma mali hizo.Naona mama wa nyumbani umekuja kujitetea fasta fasta.
We acha tu mkuu.Kuna mabosi hatari sana dunia hii. Sad story.
angemsahau tu aendelee na maisha yake, mke akishaanza kiburi ndani timua
kizazi hiki sio kilichopitaMwanamke mmoja kafanya wanawake wote tuonekane hatuna thamani mbele ya wanaume, mkiwa mnatoa dukuduku mseme baadhi maana kuna wanawake kama mama zenu walivumilia tabu za baba zenu mpaka kuwakuza nyie mnaotukana wanawake wote.
Nikiwa kama private investigator hii story naihisi iko kinyume na ulivyopata story, itakua ww unajua kuhusu kifo cha jamaa au jamaa kakupa story ya uongo ili kuficha ukweli, kwa mtazamo wangu Huyo jamaa hakujiuwa ameuliwa
Paukwa pakawaBoss mmoja inadaiwa Mkurugenzi akamtamani mke wa jamaa(marehemu) mara kidogo jamaa akatumwa kufanya kazi nje ya nchi huku bongo boss akaanza kumgegeda wife wa mchizi.
Hoja imeungwa mkonoKwa mwanaume rijali ni muhimu sana kugonga nje japo mwaka Mara 2/3 tena demu mkali itasaidia kujiweka sawa kiakili na kimwili siku ukimfumania mkeo
FULL STOPNdo tatizo la kutokuwa na michepuko hilo ,jamaa angekuwa na michepuko wala asingewaza chochote angamtema kiroho safi na kuendelea na maisha
Totoz zimejaa UDOM jamaa angekua anajifariji kwa kupiga threesome daily tena kwa hela ndogo tu unaendana nao hadi ngorongoro....hivi haya maisha watu hawajuagi namna ya kuyala eh..
Kuoa oa tu ila usimsomeshe madegeree utaliaMnatutisha sasa tusioe jaman