Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa Dada zetu mwalimu wao ni mmoja.angemsahau tu aendelee na maisha yake, mke akishaanza kiburi ndani timua
Braza kosa halihalishi kosa elewa mwanamke anayefanya kazi ana nafasi kubwa sana ya kugongwa mpini kutokana na anazo opportunities nyingi sana atakazoahidiwa na akaziamini kutokana na wale wanomwuahidi anaona kweli wanaweza kumpa pia kutokana na kuona kweli ana-fit ktk kile alichoahidiwa so haoni hatari kuchanua paja.
Hao wasiofanya kazi sisemi hawafanyi wanafanya kwa hobby tu au tamaa ila kama ana kila kitu sidhani kama atajaa kirahisi,pia nisieleweke vibaya,sijasema mkeo asifanye kazi ila afanye kazi utakayompa wewe na hadi ibidi kama ukiwa na uwezo.
Kuna wanawake wapo nyumbani tu hawana kazi yoyote lakini wanagongwa sana. Wewe unaenda kazini asubuhi, jamaa anaingia kupiga mzigo. Nina ushuhuda kabisa..................Hii yote inatokana na huu ujinga βMke wangu anafanya kazi ili tusaidiane maishaβ!!!well atakusaidia mpaka kuwahi kuuona udongo na eleweni hakuna duniani kitu kama hiko.
Vijana mkiendelea kukimbia majukumu yenu mliyoandikiwa kwamba mtatafuta ridhiki za familia zenu huku wake zenu mliowaowa wakiwazalia watoto na kuwaangalia kwa ukaribu majumbani mwenu basi mtagongewa sana na mtakufa na kuuwa mpaka akili zenu ziwakae sawa.
Kizazi hiki kinataka kupambana na nature jambo ambalo ni kosa kubwa sana
Sasa wewe ndio unaujua ukweli...nimeangalia comment za wengi humu naona kawapotosha kwel, DEO aliuliwa mana kuna ufisadi aliujua pale ofisin haraf alikuwa anachapiwa mkewe na aliefanya ule ufisadi kwa hiyo muda wowote alikuwa anaitema report wakaona suluhisho ni kumuondoaNikiwa kama private investigator hii stry naihisi iko kinyume na ulivyopata stry, itakua ww unajua kuhusu kifo cha jamaa au jamaa kakupa stry ya uongo ili kuficha ukweli, kwa mtazamo wangu Huyo jamaa hakujiuwa ameuliwa
angemsahau tu aendelee na maisha yake, mke akishaanza kiburi ndani timua
Yaani mimi wameshanivuruga kabisa na haya matukio,mambo ya ndoa nshaanza kuyatoa kwenye mipango yangu.Mnatutisha sasa tusioe jaman
Ushamba mwingine ni wa kumsomesha mke.Ndo tatizo la kutokuwa na michepuko hilo ,jamaa angekuwa na michepuko wala asingewaza chochote angamtema kiroho safi na kuendelea na maisha
Hayo uliyoyasema yapo kweli, lakini pia mahakama inaangalia ni nani aliyeanza kuitikisa ndoa.Hakuna Cha contribution Kama mumeoana.Mama hata Kama ni Mama wa nyumbani mnagawana sawa yeye anafanya kazi za nyumbani wewe kazini wote mnafanya kazi.Mgao nusu kwa nusu
Bro usijidanganye.
..........Mwanamke kama ni malaya ni Malaya tu, awe mama wa nyumbani au mtumishi.
Nakumbuka humu Jamiiforums kuna Dada yetu alileta Uzi kuwa anamtamani mwendawazimu anayemuona akiwa uchi njiani anakopita akienda na kurudi kazini, Dada zetu akili zao wanazijua wenyewe.
Kwani 'jamani' kwenye kamusi ni neno la kike?Wanaume hawatamkagi wala kuandika neno 'jamani'. Kindly review your gender and check you are a woman or transgender.