Tetesi: Mtumishi TAMISEMI Dodoma aliyekutwa kafa ndani gari kwenye maegesho ya hoteli ya Morena, stori yake inasikitisha sana

Tetesi: Mtumishi TAMISEMI Dodoma aliyekutwa kafa ndani gari kwenye maegesho ya hoteli ya Morena, stori yake inasikitisha sana

SOMO LINARUDI PALE PALE KUMSOMESHA MWANAMKE WA KIMAPENZI NI DHAMBI ILIYO KUU KULIKO ZOTE.
Huyo bosi na alaaniwe,animA.
 
Kuna mdau juu hapo katoa ushuhuda mtaani kwao dogo anamgonga mke wa mtu mama wa nyumbani
..................Hii yote inatokana na huu ujinga “Mke wangu anafanya kazi ili tusaidiane maisha”!!!well atakusaidia mpaka kuwahi kuuona udongo na eleweni hakuna duniani kitu kama hiko.

Vijana mkiendelea kukimbia majukumu yenu mliyoandikiwa kwamba mtatafuta ridhiki za familia zenu huku wake zenu mliowaowa wakiwazalia watoto na kuwaangalia kwa ukaribu majumbani mwenu basi mtagongewa sana na mtakufa na kuuwa mpaka akili zenu ziwakae sawa.

Kizazi hiki kinataka kupambana na nature jambo ambalo ni kosa kubwa sana
 
Kuna mdau juu hapo katoa ushuhuda mtaani kwao dogo anamgonga mke wa mtu mama wa nyumbani
Braza kosa halihalishi kosa elewa mwanamke anayefanya kazi ana nafasi kubwa sana ya kugongwa mpini kutokana na anazo opportunities nyingi sana atakazoahidiwa na akaziamini kutokana na wale wanomwuahidi anaona kweli wanaweza kumpa pia kutokana na kuona kweli ana-fit ktk kile alichoahidiwa so haoni hatari kuchanua paja.

Hao wasiofanya kazi sisemi hawafanyi wanafanya kwa hobby tu au tamaa ila kama ana kila kitu sidhani kama atajaa kirahisi,pia nisieleweke vibaya,sijasema mkeo asifanye kazi ila afanye kazi utakayompa wewe na hadi ibidi kama ukiwa na uwezo.
 
Unajua Mungu ni wa ajabu sana, haya yote aliyaona. Kuna kitu kinaitwa HATIA!!!! Utakuwa na mali zote za marehemu, utapanda cheo, nk, nk. Lakin hakuna Furaha ya Maisha, hakuna Amani. Nafsi itazungumza na wewe
Guilt conciousness itammaliza....
 
Hakuna Cha contribution Kama mumeoana.Mama hata Kama ni Mama wa nyumbani mnagawana sawa yeye anafanya kazi za nyumbani wewe kazini wote mnafanya kazi.Mgao nusu kwa nusu
Hivi wewe jamaa huwa ni mtaalamu wa fani gani? (kama hutajali). Huwa unachangia kwenye mambo ya kisheria kwa kujiamini halafu unatoa maboko ya kufa mtu.
 
Binaadam ni rational (hupiga hesabu ya faida na hasara) wanaume hupenda kisha huoa. Wanawake hata wakipenda hawawezi kusema hivyo wengi hujifunza kupenda wakiwa ndani ya ndoa so hii ni kama betting.
 
Hivi nyie wavulana mna shida gani kila siku mnaambiwa mwanamke asomeshwi amsikii matokeo yake mnaanza kuibiana penseli aya ngoja mnyooshwe sasa
Shida sio kumsomesha, Kama umepata mke asiefaa hata akae nyumbani tu ufunge nyumba na kufuli bado atachoropoka.
Mwanamke akipata mtu wakumrubuni na akampenda na huenda kwako alikukubali kwasababu ulikua umemwahidi ndoa na unampa mahitaji yake kama mfadhili wake ila hakukupenda nidhahiri ataenda kwa anaempenda iwe umemsomesha au hujamsomesha.
 
..................Hii yote inatokana na huu ujinga “Mke wangu anafanya kazi ili tusaidiane maisha”!!!well atakusaidia mpaka kuwahi kuuona udongo na eleweni hakuna duniani kitu kama hiko.

Vijana mkiendelea kukimbia majukumu yenu mliyoandikiwa kwamba mtatafuta ridhiki za familia zenu huku wake zenu mliowaowa wakiwazalia watoto na kuwaangalia kwa ukaribu majumbani mwenu basi mtagongewa sana na mtakufa na kuuwa mpaka akili zenu ziwakae sawa.

Kizazi hiki kinataka kupambana na nature jambo ambalo ni kosa kubwa sana
Shida sio mke kufanya Kazi au kutofanya shida ni mke kuwa aliolewa na mtu asiempenda na pia mke kuwa mwenye Tamaa kupitiliza.
Wapo wanawake hawafanyi Kazi na wanamichepuko na wapo wanawake wanafanya Kazi na wanajiheshimu.
Kama ulikosea kuchagua mke ukachagua mwenye chura bila kuangalia criteria nyingine usilalamike anapofanya yale yanayoendana na Tabia Zake.
 
Back
Top Bottom