samweli wa pili
JF-Expert Member
- Mar 21, 2018
- 410
- 284
True you are right.Siku zote nasema.
Oa rafiki yako
Oa mtu wa kwenu
Oa mwanamke msiyepishana umri sana
Mila na desturi zizingatiwe
Usioe ukoo au jamii yenye malaya wengi
Usioe mwanamke mpumbavu
Usioe ili umalize matatizo yako ya pesa
Kwa ushauri zaidi njoo pm
Ndo tatizo la kutokuwa na michepuko hilo ,jamaa angekuwa na michepuko wala asingewaza chochote angamtema kiroho safi na kuendelea na maisha
Siku zote nasema.
Oa rafiki yako
Oa mtu wa kwenu
Oa mwanamke msiyepishana umri sana
Mila na desturi zizingatiwe
Usioe ukoo au jamii yenye malaya wengi
Usioe mwanamke mpumbavu
Usioe ili umalize matatizo yako ya pesa
Kwa ushauri zaidi njoo pm
Wanabodi,nimepewa story na mtu wa karibu na marehemu kuwa huenda kilichosababisha jamaa kujiua ni pamoja na misukosuko ya ndoa yake.
Inasemekana marehemu alikuwa akiishi vizuri tu na mke wake na alimuoa kipindi jamaa yuko TAMISEMI kashaajiriwa. Baada ya kuoa akaamua kumpeleka kumsomesha wife chuo hapo UDOM, baada ya wife kumaliza chuo jamaa akafanya makaratee wife akapata ajira Tamisemi wakaendelea vizuri
Boss mmoja inadaiwa Mkurugenzi akamtamani mke wa jamaa(marehemu) mara kidogo jamaa akatumwa kufanya kazi nje ya nchi huku bongo boss akaanza kumgegeda wife wa mchizi.
Jamaa ile anarudi bongo kamkuta wife mjamzito kuanza kumuuliza wife anajiuma uma mara wife akahamishiwa Dar kukaa tena wife akadai wagawane mali hataki tena ndoa. Wife akaenda Mahakamani sijui alikuwa akipewa backup na boss Mahakama ikaamuru nyumba itiwe kufuli asikae mtu mpaka uamuzi wa Mahakama utolewe
Jamaa inadaiwa kwao wako vizuri sana huko Sumbawanga baba yake ni mmoja wa matajiri wa mwanzo wakubwa. Jamaa alikuwa ana nyumba 4, tatu zipo Dom moja Kisasa,Ilazo na mbili Kikuyu ambapo moja ni ghorofa na nyingne ipo Moro
Basi jamaa baada kuondoshwa kwenye nyumba na Mahakama akaenda nyumba yake ya Kisasa ndio siku moja kaenda kula vyombo Morena baada ya hapo akakutwa kafa ndani ya gari kwenye parking
Baada ya msiba ndugu wa marehemu walichofanya wakamwambia yule mke wake kuwa wao hawawezi kumnyanganya mali yoyote ila kwa kuwa alizaa na ndugu yao wakamwachia nyumba zote za marehemu ili mtoto akikua atazikuta na muda mchache baada ya kifo cha jamaa yule wife kapata uhamisho kurudi tena Dodoma.
Kweli duniani hakuna fair
----
Pia Soma
Nini kimemkuta Mtumishi huyu wa Umma? Kwanini inafanywa siri?
Ndugu zangu, Machi 23, 2019 jijini Dodoma katika Hoteli ya Morena kilitokea kitu ambacho si cha kawaida. Naam, mwili wa mtumishi wa umma (jina kapuni kwa sasa lakini niseme ni D. Maufi) ulikutwa kwenye gari katika maegesho ya Hoteli ukiwa umeanza kuharibika ishara inayoonyesha kama alikuwa na...www.jamiiforums.com
angemsahau tu aendelee na maisha yake, mke akishaanza kiburi ndani timua
Yan sana huyu mwanamke akaombe radh ndugu wa mume asijitie upofu kitakachompata watazika naeKijana wa sumbawanga kapotea kirahisi tu sababu ya boss kuharibu?haiwezekani....hakutakua na revenge hapa kweli?
R.I.P...
Ata umuweke ndan jibu ni mwanamke hasomeshwiMwanamke asomeshwi.............. Over......... Jitie kibuli cha mbuzi uone matokeo yake.
Watu walioishi pamoja na kupendana ghafla mmoja aseme sikutaki ni ngumu sana kulipokea inahitaji moyo wa ujasiriangemsahau tu aendelee na maisha yake, mke akishaanza kiburi ndani timua
Mkuu we oa tyu ila utakuja kuwa mshauri mzuri kwa vijana wasikimbilie kuoa...Mnatutisha sasa tusioe jaman

Huyo mke hatakuwa na amani pamoja na boss...mark my words...watapata Mikasa na taabu nyingi...Wanabodi,nimepewa story na mtu wa karibu na marehemu kuwa huenda kilichosababisha jamaa kujiua ni pamoja na misukosuko ya ndoa yake.
Inasemekana marehemu alikuwa akiishi vizuri tu na mke wake na alimuoa kipindi jamaa yuko TAMISEMI kashaajiriwa. Baada ya kuoa akaamua kumpeleka kumsomesha wife chuo hapo UDOM, baada ya wife kumaliza chuo jamaa akafanya makaratee wife akapata ajira Tamisemi wakaendelea vizuri
Boss mmoja inadaiwa Mkurugenzi akamtamani mke wa jamaa(marehemu) mara kidogo jamaa akatumwa kufanya kazi nje ya nchi huku bongo boss akaanza kumgegeda wife wa mchizi.
Jamaa ile anarudi bongo kamkuta wife mjamzito kuanza kumuuliza wife anajiuma uma mara wife akahamishiwa Dar kukaa tena wife akadai wagawane mali hataki tena ndoa. Wife akaenda Mahakamani sijui alikuwa akipewa backup na boss Mahakama ikaamuru nyumba itiwe kufuli asikae mtu mpaka uamuzi wa Mahakama utolewe
Jamaa inadaiwa kwao wako vizuri sana huko Sumbawanga baba yake ni mmoja wa matajiri wa mwanzo wakubwa. Jamaa alikuwa ana nyumba 4, tatu zipo Dom moja Kisasa,Ilazo na mbili Kikuyu ambapo moja ni ghorofa na nyingne ipo Moro
Basi jamaa baada kuondoshwa kwenye nyumba na Mahakama akaenda nyumba yake ya Kisasa ndio siku moja kaenda kula vyombo Morena baada ya hapo akakutwa kafa ndani ya gari kwenye parking
Baada ya msiba ndugu wa marehemu walichofanya wakamwambia yule mke wake kuwa wao hawawezi kumnyanganya mali yoyote ila kwa kuwa alizaa na ndugu yao wakamwachia nyumba zote za marehemu ili mtoto akikua atazikuta na muda mchache baada ya kifo cha jamaa yule wife kapata uhamisho kurudi tena Dodoma.
Kweli duniani hakuna fair
----
Pia Soma
Nini kimemkuta Mtumishi huyu wa Umma? Kwanini inafanywa siri?
Ndugu zangu, Machi 23, 2019 jijini Dodoma katika Hoteli ya Morena kilitokea kitu ambacho si cha kawaida. Naam, mwili wa mtumishi wa umma (jina kapuni kwa sasa lakini niseme ni D. Maufi) ulikutwa kwenye gari katika maegesho ya Hoteli ukiwa umeanza kuharibika ishara inayoonyesha kama alikuwa na...www.jamiiforums.com
Kitendo cha ndugu kumuacha mke wa jamaa na mali zote, ni ishara mbaya sana kwake.Kijana wa sumbawanga kapotea kirahisi tu sababu ya boss kuharibu?haiwezekani....hakutakua na revenge hapa kweli?
R.I.P...
Ubovu wa hizi sheria, ni pale wanapoangalia upajde wa mali za mwanaume pekee.Hakuna Cha contribution Kama mumeoana.Mama hata Kama ni Mama wa nyumbani mnagawana sawa yeye anafanya kazi za nyumbani wewe kazini wote mnafanya kazi.Mgao nusu kwa nusu