Tetesi: Mtumishi TAMISEMI Dodoma aliyekutwa kafa ndani gari kwenye maegesho ya hoteli ya Morena, stori yake inasikitisha sana

Tetesi: Mtumishi TAMISEMI Dodoma aliyekutwa kafa ndani gari kwenye maegesho ya hoteli ya Morena, stori yake inasikitisha sana

Siku zote nasema.
Oa rafiki yako
Oa mtu wa kwenu
Oa mwanamke msiyepishana umri sana
Mila na desturi zizingatiwe
Usioe ukoo au jamii yenye malaya wengi
Usioe mwanamke mpumbavu
Usioe ili umalize matatizo yako ya pesa

Kwa ushauri zaidi njoo pm
True you are right.
 
Niwajuavyo watu wa sumbawanga uyu dada hachukui round.
Alafu wanaume demu akikuzingua achana nae maisha yaende akili zao hawa sometimes huwa zawatosha wenyewe.
 
Huu ndio ukweli vijana wengi wanakwama hapa kujifanya wanapenda
Ndo tatizo la kutokuwa na michepuko hilo ,jamaa angekuwa na michepuko wala asingewaza chochote angamtema kiroho safi na kuendelea na maisha
 
Namshukuru sana mwanamke alieniumiza maana ningeoa bila kuumizwa yawezekana ya maufi yangekua

Mke nikimkuta na msg isiyoeleweka atapokea kichapo afu asepe kwake.

Sina huruma na ujinga kabisa sahiivi afu sina upendo wa kweli
 
Kweli hawa watu ukitaka kuwaelewa hutoweza ni kuishi nao kwa Akili tu
 
Nimeipenda
Siku zote nasema.
Oa rafiki yako
Oa mtu wa kwenu
Oa mwanamke msiyepishana umri sana
Mila na desturi zizingatiwe
Usioe ukoo au jamii yenye malaya wengi
Usioe mwanamke mpumbavu
Usioe ili umalize matatizo yako ya pesa

Kwa ushauri zaidi njoo pm
 
Hee kama wasumbawanga hizo nyumba alizoachiwa asiende kukaa kitakacho mpata huyo mwanamke atasimulia kunajamaa uku kwetu aliua mtu wa sumbawanga ndugu wa marehem walisema tumemsamehe na kesi haikufunguliwa mahakamani sasa kilicho mpata yule muuaji tulizika nae
Wanabodi,nimepewa story na mtu wa karibu na marehemu kuwa huenda kilichosababisha jamaa kujiua ni pamoja na misukosuko ya ndoa yake.

Inasemekana marehemu alikuwa akiishi vizuri tu na mke wake na alimuoa kipindi jamaa yuko TAMISEMI kashaajiriwa. Baada ya kuoa akaamua kumpeleka kumsomesha wife chuo hapo UDOM, baada ya wife kumaliza chuo jamaa akafanya makaratee wife akapata ajira Tamisemi wakaendelea vizuri

Boss mmoja inadaiwa Mkurugenzi akamtamani mke wa jamaa(marehemu) mara kidogo jamaa akatumwa kufanya kazi nje ya nchi huku bongo boss akaanza kumgegeda wife wa mchizi.

Jamaa ile anarudi bongo kamkuta wife mjamzito kuanza kumuuliza wife anajiuma uma mara wife akahamishiwa Dar kukaa tena wife akadai wagawane mali hataki tena ndoa. Wife akaenda Mahakamani sijui alikuwa akipewa backup na boss Mahakama ikaamuru nyumba itiwe kufuli asikae mtu mpaka uamuzi wa Mahakama utolewe

Jamaa inadaiwa kwao wako vizuri sana huko Sumbawanga baba yake ni mmoja wa matajiri wa mwanzo wakubwa. Jamaa alikuwa ana nyumba 4, tatu zipo Dom moja Kisasa,Ilazo na mbili Kikuyu ambapo moja ni ghorofa na nyingne ipo Moro

Basi jamaa baada kuondoshwa kwenye nyumba na Mahakama akaenda nyumba yake ya Kisasa ndio siku moja kaenda kula vyombo Morena baada ya hapo akakutwa kafa ndani ya gari kwenye parking

Baada ya msiba ndugu wa marehemu walichofanya wakamwambia yule mke wake kuwa wao hawawezi kumnyanganya mali yoyote ila kwa kuwa alizaa na ndugu yao wakamwachia nyumba zote za marehemu ili mtoto akikua atazikuta na muda mchache baada ya kifo cha jamaa yule wife kapata uhamisho kurudi tena Dodoma.

Kweli duniani hakuna fair

----
Pia Soma
 
angemsahau tu aendelee na maisha yake, mke akishaanza kiburi ndani timua
Watu walioishi pamoja na kupendana ghafla mmoja aseme sikutaki ni ngumu sana kulipokea inahitaji moyo wa ujasiri
 
Wanawake wako kibaaaooo!! Mmoja akikuletea za kuleta si umwache uchukue mwingine ? Ndio maana mababu zetu walikuwa wanaoa wake wengi. Mmoja akikuletea stress unaenda kwa mwingine. Namsikitikia sana huyo marehemu. IT IS NOT WORTH IT TO DIE BECAUSE OF THE STRESS CAUSED BY A WOMAN WHILE THEY ARE A DIME A DOZEN !!(wako wengi, fungu shilingi- tena wazuriiii !!!)!!
 
Wanabodi,nimepewa story na mtu wa karibu na marehemu kuwa huenda kilichosababisha jamaa kujiua ni pamoja na misukosuko ya ndoa yake.

Inasemekana marehemu alikuwa akiishi vizuri tu na mke wake na alimuoa kipindi jamaa yuko TAMISEMI kashaajiriwa. Baada ya kuoa akaamua kumpeleka kumsomesha wife chuo hapo UDOM, baada ya wife kumaliza chuo jamaa akafanya makaratee wife akapata ajira Tamisemi wakaendelea vizuri

Boss mmoja inadaiwa Mkurugenzi akamtamani mke wa jamaa(marehemu) mara kidogo jamaa akatumwa kufanya kazi nje ya nchi huku bongo boss akaanza kumgegeda wife wa mchizi.

Jamaa ile anarudi bongo kamkuta wife mjamzito kuanza kumuuliza wife anajiuma uma mara wife akahamishiwa Dar kukaa tena wife akadai wagawane mali hataki tena ndoa. Wife akaenda Mahakamani sijui alikuwa akipewa backup na boss Mahakama ikaamuru nyumba itiwe kufuli asikae mtu mpaka uamuzi wa Mahakama utolewe

Jamaa inadaiwa kwao wako vizuri sana huko Sumbawanga baba yake ni mmoja wa matajiri wa mwanzo wakubwa. Jamaa alikuwa ana nyumba 4, tatu zipo Dom moja Kisasa,Ilazo na mbili Kikuyu ambapo moja ni ghorofa na nyingne ipo Moro

Basi jamaa baada kuondoshwa kwenye nyumba na Mahakama akaenda nyumba yake ya Kisasa ndio siku moja kaenda kula vyombo Morena baada ya hapo akakutwa kafa ndani ya gari kwenye parking

Baada ya msiba ndugu wa marehemu walichofanya wakamwambia yule mke wake kuwa wao hawawezi kumnyanganya mali yoyote ila kwa kuwa alizaa na ndugu yao wakamwachia nyumba zote za marehemu ili mtoto akikua atazikuta na muda mchache baada ya kifo cha jamaa yule wife kapata uhamisho kurudi tena Dodoma.

Kweli duniani hakuna fair

----
Pia Soma
Huyo mke hatakuwa na amani pamoja na boss...mark my words...watapata Mikasa na taabu nyingi...
 
Hakuna Cha contribution Kama mumeoana.Mama hata Kama ni Mama wa nyumbani mnagawana sawa yeye anafanya kazi za nyumbani wewe kazini wote mnafanya kazi.Mgao nusu kwa nusu
Ubovu wa hizi sheria, ni pale wanapoangalia upajde wa mali za mwanaume pekee.
 
Back
Top Bottom