Tetesi: Mtumishi wa NSSF alilipwa milioni 26 za uhamisho akitokea HQ Posta kwenda ofisi za NSSF Kinondoni Dar

Akiongeza milioni 4 anapata HARRIER tako la nyani hapo namba DW
Hii nchi kuna Watu wanoko sana....yani 26m mtu anapata chuki hadi anaanzisha uzi kabisa.

Angehamishwa yeye afu apewe hiyo 26m unadhani angekuja hapa kuanzisha huu upuuzi!

Narudia kusema tena ktk utumishi wa umma hakunaga ambaye sie mpigaji.....kila mtu ana levo zake....ndio mana walimu wanapiga chaki manesi wanaondoka na dawa etc

Wanaopata levo za mabilioni wanapiga. Ni roho mbaya tu.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Huyu Erio alikua ni Mpwa wa marehemu Mkapa kwa hiyo alijenga kiburi na madharau kwakuwa alikua anajua hakuna wa kumgusa akasahau kuwa kila mwanzo kuna mwisho,
 
laana ya nini sasa, ni katika kusaidiana tu mtu astaafu vzr, ndo nyie mstaafu akifulia mtaani mnaanza kumcheka,siyo tu hivyo sehwm nyingine mstaafu anatafutuwa hata safari mbili za nje apatw perdiem nzuri ya kimataifa akitoka hapo ana milion yake 20 ndani, huku anafuatilia mafao yake ,
 
mtu anapohamishwa ndani ya mkoa/ wilaya moja ambapo maisha yake hayataathiri kuhama phyisically analipwa kitu kinaitwa disturbance allowance, na huwaga ni 10 % ya mshahara wake wa mwaka, yaani chukua gross salary yake ya mwez zidisha mara 12 ,ile amount ndo calculate 10%, ndo unapata kiasi anachostahili kulipwa, sasa nimewaza kitu kimoja,huyo mtu hatujui mshahara wake ulikuwaje kwa mwezi,kwa mtu ambaye anastahili kulipwa hiyo amount ni yule ambaye annual gross salary yake ni milion 260,000,000/-ambayo ukiigawanya kwa 12 unapata mshahara wa milion 21,700,000 kwa mwezi ambao kwa mashirika makubwa kama hayo ni mshahara wa kawaida tu kabla hujatoa kodi, au lbda mshahra wake haukua mkubwa kiasi hicho, ila alikuwa na malimbikizo ya madeni mbali mbali ktk ofisi yake kama safari, likizo n. k, ukijumlisha na disturbance allowance yake ndo inafikia kiwango hicho, kwahiyo tusiendekeze njaa kwa mambo ya kisheria na taratibu, kama kitu hakijawa reported kama ni fraud imefanyika basi jua ni haki yake, na wewe pqmbana uweze kufikia level hizo, na wasio waajiriwa wanaoona ajira ni utumwa wajue kuwa kuna watu wanalipwa mishahara zaidi ya mitaji yao kwa mwaka!!
 
Naomba utueleze ni sheria ipi na ya mwaka upi inasema kuhamishwa within mkoa unalipwa disturbance ya 10%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…