Mtumishi wa SERIKALI ambaye take home yako ni Tsh 450k , Tsh 500k na kuendelea , SIKIA HII

jozee jose

Senior Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
147
Reaction score
360
WATASHA walisema Maisha ni mipango hili ni sahihi kwa 100%, yawekana tumeshindwa kutoboa kwa kukosa mipango sahihi na kuwa na Nidhamu hafifu ya Fedha.
Muda wa kustaafu kwa mtumishi wa umma ni miaka 60 kisheria, lakini kwa hiari ni kuanzia miaka 55 hadi 59.
Sasa kwa mtu mwenye umri wa Miaka tuseme 35 atakuwa amebakiza miaka 25 hadi atakapofikisha miaka 60.
Hadi hapo utakuwa umebakiza mishahara ya thamani hii
[Miaka 25 × miezi12 × mshahara Tsh500 000] utapata Tsh 150 000 000 (150M)

Kumbuka Pesa hiyo haihusiani na PENSION kutoka mifuko ya kijamii kama PSSSF na NSSF na nk, ni pesa ambayo inapita mikoni mwako moja kwa moja.

Hii pesa inaweza ikawa kubwa saaana au ndogo inategemeana na matumizi ya mtu binafsi maana kila mtu ana partern yake.
Ninachotaka kusema kwa kupitia pesa hiyo kuna Watu wamefanikiwa kuwekeza na kupata vipato ambavyo ni (Active na passive income)
Yaani utaingiza pesa kwa kuhusika na kutokuhusika kwenye mradi moja kwa moja.

Mtumishi jibaneeeee, Anzisha hata miradi ya kupanda miti kama parachichi,miti ya mbao,nunua mapori kuna sehemu wanauza ekari moja hadi 150k....Tatizo huwa tunawaza Kesho na kesho kutwa na tuna usahau uzee wetu na hutujajifunza kuandaa urithi wa Watoto wetu.
Pesa ya Pension sio pesa ya kuanzisha miradi ambayo hujawahi kufanya yaani utaishi maisha ya stress nyingi sana mara B.P mara kisukari kitafuta Kifo.
Mtumishi usiishi kinyongeeee Pesa unayo jitahidi kurahisisha Maisha,
Kila mmoja ajaribu kufanya Hesabu hiyo kutokana na umri aliobakiza kazini na Ajifanyie tathimini, Je ;pesa yake itakayoipata itamsaidia kuishi Uzee usio toa jasho?
Karibuni
 
Watumishi wa umma wakipitia bandiko kuokota mawili matatu ya kuwasaidia kesho na kesho kutwa
FB_IMG_1741706971397.jpg
 
Kwahiyo na hii ni ID Yako? 😅😅😅...Maana hii mada ni copy na paste kutoka kwa....
 
WATASHA walisema Maisha ni mipango hili ni sahihi kwa 100%, yawekana tumeshindwa kutoboa kwa kukosa mipango sahihi na kuwa na Nidhamu hafifu ya Fedha.
Muda wa kustaafu kwa mtumishi wa umma ni miaka 60 kisheria, lakini kwa hiari ni kuanzia miaka 55 hadi 59.
Sasa kwa mtu mwenye umri wa Miaka tuseme 35 atakuwa amebakiza miaka 25 hadi atakapofikisha miaka 60.
Hadi hapo utakuwa umebakiza mishahara ya thamani hii
[Miaka 25 × miezi12 × mshahara Tsh500 000] utapata Tsh 150 000 000 (150M)

Kumbuka Pesa hiyo haihusiani na PENSION kutoka mifuko ya kijamii kama PSSSF na NSSF na nk, ni pesa ambayo inapita mikoni mwako moja kwa moja.

Hii pesa inaweza ikawa kubwa saaana au ndogo inategemeana na matumizi ya mtu binafsi maana kila mtu ana partern yake.
Ninachotaka kusema kwa kupitia pesa hiyo kuna Watu wamefanikiwa kuwekeza na kupata vipato ambavyo ni (Active na passive income)
Yaani utaingiza pesa kwa kuhusika na kutokuhusika kwenye mradi moja kwa moja.

Mtumishi jibaneeeee, Anzisha hata miradi ya kupanda miti kama parachichi,miti ya mbao,nunua mapori kuna sehemu wanauza ekari moja hadi 150k....Tatizo huwa tunawaza Kesho na kesho kutwa na tuna usahau uzee wetu na hutujajifunza kuandaa urithi wa Watoto wetu.
Pesa ya Pension sio pesa ya kuanzisha miradi ambayo hujawahi kufanya yaani utaishi maisha ya stress nyingi sana mara B.P mara kisukari kitafuta Kifo.
Mtumishi usiishi kinyongeeee Pesa unayo jitahidi kurahisisha Maisha,
Kila mmoja ajaribu kufanya Hesabu hiyo kutokana na umri aliobakiza kazini na Ajifanyie tathimini, Je ;pesa yake itakayoipata itamsaidia kuishi Uzee usio toa jasho?
Karibuni
karibuni sana kwenye kilimo na ufugaji biashara, my friends ladies and gentlemen, hapa mshahara na pension ni bidii na nguvu yako tu 🐒
 
Kwa nani funguka?
Alafu jua hakunaga mada mpya Duniani., mawazo au mitazamo huingiliana , Siwezi kupi mawazo ya Mtu wakati nina mawazo yangu.
Hata hivyo mawazo ya mtu yeyote ni mkusanyiko wa mawazo ya wengine. Upo hapo
 
Back
Top Bottom