Mtumishi wa Umma akikaa kituo kimoja anazoe kazi

Mtumishi wa Umma akikaa kituo kimoja anazoe kazi

kanamaheri

Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
99
Reaction score
84
Mara nyingi tumekuwa tukisikia habari kutoka kwa wenye dhamana mbali mbali na wananchi wa kawaida kuwa mtumishi wa umma, hakimu, bwana shamba, mwalimu, askari polisi(wanainteract sana hawa na wananchi).

Afisa Mtendaji Kata au Kijiji au Mtaa n.k akikaa kituo kimoja kwa muda mrefu ufanisi wa kufanya kazi unapungua wakati mwingine anafanyakazi kwa mazoea.

Je, mbunge aliyeajiliwa na wananchi huyu hazoei kazi mbunge anahudumu miaka 10, 15, 20 na wengine 25........ ufanisi vipi wenyewe unabakia 100%?
 
Haupungui kwa bahati mbaya ila anaingia kwenye mfumo... 😅😅
 
Back
Top Bottom