3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Huyu bwana mdogo huenda akili hazipo sawa. Mie nashauri apimwe akili maana kwa usomi wake, mtumishi wa umma na eneo alilopo kuna walakini katika kichwa chake. Kajiaibisha yeye na wengine wanaomzunguka
Watamsingizia vitu vingi tuu hata kama dish lina nasa.
Hatari kubwa ni kwamba hukokukosa dhamana na kutokuwepo kazini ndio kutamuondoa kazini.Huyo mtumishi amevunja kifungu kipi cha sheria za kazi? Unaweza kututajia hicho kifungu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni chizi hapo alipo. Anahitaji msaada na kufungwa ni kuonewaNilikuwa nasikia ukichana hio unakuwa chizi, kumbe fix tu!
Kiuhalisia Waziri Hakutakiwa kuliingilia hili swala, inaonyesha ni kwakiasi gani udini upo ndani ya viongozi wakati serikali inaimba kutokuwa na Dini.
#Bagwell
Kuna kanuni za maadili kwa mtumishi wa umma. Hizo zitamuondoa unless athibitike ni mgonjwaDo you know the reason behind the whole saga? Kuchoma kohorani na kusimamishwa kazi vinahusianaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo unataka kusema upagani haukubaliki Tanzania?Uhuni kama huo hiyo ndiyo stahili yake.
Maana ni kosa la jinai,kwa hiyo ukiwa na kesi mahakamani taratibu za kazi ni lazima usimamishwe kazi.
Mimi ni mkristo ila hizo ni tabia za kipagani hazikubaliki
Sent using Jamii Forums mobile app
Sirikali si haina dini.ni sahihi..utachanaje kitabu kitakatifu cha Mungu?tuheshimu imani za watu
Kwani bado yupo Ofisini?
Amefanya kosa gani?
Kwani Jafo hajui kuwa hiyo quran imehifadhiwa nyoyoni kwa waumini wa kiislamu hata ikichanwa hakuna tatizo au jafo yeye hajaiifadhi?