Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Hao masheikh ubwabwa lazima wapige kelele maana ndiyo wenye kutumia hicho kitabu kinawahusu,na nimekwambia kwenye hicho kitabu hakisemi tu Qur'an ndiyo ya Mungu bali kumeeleza vingi tu kuwa ni vya Mungu.
Uko sahihi.
Hapa tunajadili kuchana! Yaani kuchana maana yake unajua unachofanya. Mie Mkristu lakini siwezi fanya kufuru iyo.
Moral ethics hujipa mwenyeweNa amepewa na nani hayo mamlaka?
Basi ni sawa na adhabu.Moral ethics hujipa mwenyewe
Chief muwe mnawaangalia na watu wenyewe wa kuwaambia watumie akili. Kama akili zenyewe hawana je? [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]Kwahiyo ikitokea mapigano ya kidini baina ya pande mbili za dini tofauti,serikali isiingilie kati kwa sababu serikali haifungamani na dini yoyote? Muwe mnatumia hakili kufikiria
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani umeshajifunza kitu mpaka Sasa. Tofautisha Sheria za utumishi wa Uma na Sheria za makosa ya jinai, na hizi wakati mwingine husomwa kwa pamoja. Kwa Mfano Mh. Rais amemfuta kazi jamaa yako kwa kutumia Sheria ya utumishi wa Uma lakini masuala ya kijinai ameziachia mamlaka husika ziendelee nae. Hivyo Basi huenda kule akamalizana nao aidha ikibainika amepatwa na hatia au la lakini kwenye utumishi alishajiharibia, yaani ameishushia hadhi aidha Taaluma yake au tasnia ya watumishi wa Uma. Nina Imani alichokitaka huenda ikawa ameshaanza kuvipata, Ninamwomba Kila la kheri katika maisha yake mapya nje ya utumishi wa Uma.Sasa kama hoja ni hiyo si jeshi la polisi tayari limemkamata na watamfungulia mashtaka kwa mujibu wa katiba? Kusimamishwa kazi kunakujaje? Kwani amevunja sheria za kazi?