Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Ni kifungu gani cha sheria za kazi alichovunja mtumishi aliyesimamishwa kazi? Wewe taja tu kifungu tumalize mjadala.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha upimbi kwanza jibu swali unajua neno ‘Utumishi wa Umma’ kinatokana na neno ‘UMMA’ je unajua nini maana ya ‘Umma’ na sifa za kuwa ‘Mtumishi wa uwo Umma’ unajua maamayake.

Kifungu katafute wewe.

Portfolio | 2020
 
Kwanini iwe sahivi wakati Serikali haina dini?? Na kuchana kwake hicho kitabu kuna uhusiano gani na kazi yake??

#Bagwell

Ungeshaishi maeneo ya nchi zinazochafukwa kwa sababu ya haya unayoyaaona ni madogo ya Dini, ungefikiria mara milioni.

Na wengine wajue wakijaribu nao hakuna kuangaliwa ni kusomeshwa adabu tu.
 
Hivi hapo kuna sheria yoyote ya kazi aliyokiuka. Mimi nadhani kukamatwa ni sawa ila kusimamishwa kazi inahusianaje na hilo tukio. Lazima viongozi wetu wawe wanaangliq sheriq zaidi badala ya utashi wao binafsi
Hajakiuka sheria za kazi moja kwa moja ola amevunja sheria za nchi.


ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]
 
Naapa kwa aliyeniumba,huyu binaadam mwenzangu nikikutana nae huku moro tachokifanya ataenda kusimulia wafu wenzake huko makaburini
Tumeusiwa kukatazana mabaya na kuamrishana mema, tafadhali usifanye hivyo. Mi nakukataza "Hapana usifanye hivyo"

ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]
 
Hii Mh. Jaffo kachemka, hakuna sheria inayo sema hivyo.
Serikali wajiandae kulipa fidia pesa ndefu.

Sema yule mangi nae sifa zimezidi.
 
Binafsi leo ndo nimefahamu kwamba wengi wetu akili hatuna, tunajitia tu ujuaji usio na maana yoyote. Hivi nani asiyejua kama kuwa mtumishi wa umma ni kuwa mfano kwa jamii inayokuzunguka wewe, Matendo yako ya hovyo nje ya kazi yako yanaweza pelekea kufukuzwa kazi.

Leo hii tunatetea upumbavu kama huo ili iweje na mwendelezo huu ukiwa endelevo kwa watu wa dini zote mambo yapi yatatokea?

Je mnafahamu vyanzo vya uvunjifu wa amani unaanzia wapi? Ndio sote tunafahamu nchi haina dini ili nchi hiyo hiyo inatambua wananchi wake wanaishi dini ndo maana mtu yeyote anayeapa kuitumikia hushikishwa kitabu cha imani yake kama mwongozo kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…