Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheka mpaka basi...bishanga hafai hata kulumanga,du!dah hiyo staili ni mbaya, kwanza itakuumiza miaka mingi na unaweza usijue ndo kaondoka, unajipa mahope labda umemuudhi kitu kidogo tu, itakufanya uanze kujiombesha samahani hata kosa ulijui, mpaka uje uamue kuondoka ni umeumia mpaka ukatosha
Napenda zaidi mwanume mwenye guts za kuniambia marry it over hata asiponiambia sababu, at least hilo neno nilisikie kutoka kwake, huyu wa bishanga hafai hata kwa kulumangia, nini kumfanya mwenzie awaze kiasi hicho, si angesema tu naona hatuendani
Umeogopa nini?
Hata mimi namjua mmoja,ila vilibambaruka wakati huyo mtoto alipopata ajali na kufariki.Inategemea na mhusika...Wapo watu wasiojali na wanasema kwa uwazi kabisa (kama huyo Cindy), ila kuna watu wengine ambao hata kwa mtutu wa bunduki hawawezi kusema kuwa wana watoto!
Kuna mama ambaye ninamfahamu, kaolewa akiwa na watoto 2 ila mume wake kafichwa na hao watoto sasa hivi ni watu wazima!!
Babu DC!!
Kuna kitu kinaitwa 'okwebuga' ni maneno special mwanamme anayatamka alfajiri inayofuatia ndoa yake na baada ya hapo baba yako anakupa mkuki na zawadi (okukushumika),sasa ukioa divorcee/mwenye mtoto hayo maneno utayamka vipi?
Wapi?lini?sa ngapi?
Akha!!!!!
Safi sana Kaunga naomba tu niseme tena kwa msisitizo The truth may hurt for a little while but a lie hurts forever!!!!!! mimi naomba kuambiwa ukweli mtupuuuu hata kama uliwahi kubaka au kufungwa jamani nitapokea kwa mikono miwili na :busu juu.
Cacico,nina ushahi mzuri wa kusaporti ulichosema,baba yangu mkewe wa mwisho alimkuta ana watoto wa3,walioana na maisha yaliendelea,huyu mama yetu wa kufikia ndo amekua msaad sana kwetu tunapomhitaji!Jamani mwanamke akizaa bado ni mwanamke tu!
Mmmhhhhhhh.......Mimi nasema hiviiiii yeye akitaka afiche atajijua mwenyewe lakini siku mimi nitakapogundua kuwa kuna vitu alinificha halafu eti anitolee sababu za kimavi mavi sijui aliogopa uhusiano wetu utavunijka au hakutaka kuniumiza......sasa hapo ndio uhusiano utavunjika kabisaaaa wala sitageuka nyumaaa!!
Na ili tuwekane wazi nitamwambia mapema kabisa yani mwanzoni anieleze tu ukweli kama kuna lolote napaswa kulifahamu na kuwa akinificha nikajua mwenyewe mimi na yeye uhusiano wetu ndio utakua umeishia hapo sasa kazi kwake kusuka au kunyoa.
A cowardly way ya kumaliza mambo!
Matamanio c angepiga na kusepa?In other weds hakumtunuku ila yalikuwa matamanio tu?
Kaunga,actualy i was planning to tell you this,mimi na we bana basi kuanzia leo,na pete yangu rudisha,na vitz lete ufunguo wa gari,na hiyo nyumba nilikujengea tegeta lete hati hapa......how does it sound Kaunga?
Si bora anayesepa kimya kimya na kukuachia kila kitu?
Yaani haihusiani kabisa. Niambie hivi, Kaunga nafikiri hunihamasishi tena kama zamani, au nimepata mtu mwingine ambaye nataka kuwa naye, so l wont be seeing you again; this is much much better than kutopokea simu, kutafuta excuses mara ooh nimesafiri sehemu ambayo haina mtandao etc.
Hiyo ya vitu, ni kitu nyingine tofauti.