mtumwa hauawi jamani......

mtumwa hauawi jamani......

Nyie mnaishi tu,kwani siri?
By the way yuko wapi? Mbonasimwoni jamvini?

Kwani we hujui sheria ya ndoa inasemaje?Mwaka baada ya kuishi tu tulitambulika kama mke na mume.

Kaenda kunitafutia maembe. . .mdogowe na Ashrat anasumbua tumboni.
 
Kwani we hujui sheria ya ndoa inasemaje?Mwaka baada ya kuishi tu tulitambulika kama mke na mume.

Kaenda kunitafutia maembe. . .mdogowe na Ashrat anasumbua tumboni.
una vijineno wewe!
ngoja nihamie kwenye uzi wako wa asubuhi,naona leo umeamka na maftrastresheni.
 
Eh hapa parefu
Aksante Babu DC kwa mchango wako maridhawa.

Mie ninalo swali, inategemea na alivyoanza kughani kwa dada Cindy but huyo shemeji kabla ya kukimbia kama kweli alikuwa anampenda Da Cindy (si kumtamani) alishindwa japo kumwomba wawe friends tu?
 
Ahsante sana dada kwa kunielewa,

Katika huu mjadala, nimekuwa katika wakati mgumu kwani kuna mambo nimeyaongea (pamoja na kwamba ni facts) ila hayapendezi kuyasema kwani kuna watu wengi ni wahanga kutokana na matatizo ambayo yalitokea kwenye mahusiano yao na yalikuwa nje ya uwezo wao. Hata hivyo jamii nayo ina mambo yake ambayo mara nyingi yanasababisha mateso zaidi kwa watu wanaonyanyapaliwa. Ndo maana sina hakika kama nimefanya jambo linaloweza kueleweka kwa wadau kuamua kuongea haya mambo hadharani!

Back to topic...

Naomba watu watambue kuwa kupenda (upendo) na mapenzi ni vitu viwili tofauti sana ingawa vinaweza kuwepo kwa wakati mmoja. Hivi kweli unaweza kuamini kwamba huyo mwanamume alikuwa anampenda Candy, mtu ambaye hakuwahi kuonana naye, eti kwa sababu aliona picha yeke inavutia? Kama kuna watu wanadhani kwamba the guy was in love (upendo na siyo mapenzi) with Candy, basi mie naomba nibaki peke yangu kama mtu aliyepitwa na wakati..

After all, naishi kwenye zama ambazo si zangu!!

Babu DC!!
 
Hhuo ndio uzuri wa kutafuta kuchovya! Ukiona gharama inazidi faida hiyo sio biashara unaachana nayo
 
Nimepokea ombi maalum toka kwa mama chanja wangu mtarajiwa ,anasema kuna mtu kamwomba ushauri,katika hili naye anaomba mchango wenu.
Ni hivi:
Kuna mdada mmoja (tumwite Cindy), Cindy aliolewa na akaachika.Alipata watoto wawili kwenye ndoa yake na anaishi mwenyewe na wanae.Majuzi kuna baba mmoja aliingia kwenye ofisi ya dada yake Cindy (tumwite Brenda) na hapo ofisini huyo baba aliona picha ya Cindy na akamtunuku. Alijitahidi kuomba contact za Cindy lakini Brenda akawa anakataa.Jamaa king'ang'anizi pamoja na Cindy kumwambia dada yake asitoe contact zake lakini tokana na presha yajamaa mwisho Brenda alimpa jama namba ya Cindy.Zikanza simu na sms zisizoisha mpaka Cindy akakubali akutane na jamaa.Wakakutana,wakala,wakanywa,in the process Cindy akamweleza jama ukweli kuwa yeye ni divorcee with two kids.Kuanzia siku hiyo hajamsikia wala kumwona jamaa tena.
Cindy anajiuliza hivi jamaa kakimbia kisa ana watoto? Au kisa ni u divorcee?apparently dada yake kumbe hakumweleza jamaa kuwa cindy aliwahi kuolewa na ana watoto.
Hivi wanaume mnakerwa kuwa na mwanamke mwenye watoto/divorcee,kwa nini?

Ama kwa mimi sina tabu na lolote katika hayo mawili lakini pengine ni vizuri kwa anaeanza ndowa hasa mwanamme basi aanze na mwanamke mpya(aliyekuwa hajapata kuolewa kabla)
 
Mie ninalo swali, inategemea na alivyoanza kughani kwa dada Cindy but huyo shemeji kabla ya kukimbia kama kweli alikuwa anampenda Da Cindy (si kumtamani) alishindwa japo kumwomba wawe friends tu?

MwanajamiiOne
naona unataka kubishana na ukweli uliokuwa proven since the beginning of time. Sababu kubwa ya mwanaume na mwanamke tuwa karibu ni kupass genes zao au kusaidia kulea watoto wanao host genes zao (au za kaka, dada zoa... kwakuwa zote zinatoka kwa ancestor mmoja) haya mambo ya friends ni kudanganyana tuu.

Kwa akili ya kiume hakuna kitu kama "we're just friends" sana sana kama anataka kukuchezea au kama teyari ana watoto wake. Kwa mwanaume kamili ambaye bado hajatimiza wajibu wake wa ki-evolution (ku pass his genes) ni vigumu sana kuwa na urafiki tuu na mwanamke mwenye watoto labda awe dumebwege. We unafikiri ni kwa nini kwenye makabila yetu mwanaume asiyekuwa na watoto wake mwenyewe akilea watoto wa mwanaume mwingine hudharaulika? Naelewa wanawake watatete kwakusema "a real men can take responsibility" lakini ukweli ni kuwa mwanaume atapoteza resources (time, money) zake kwa watoto ambao hawana faida kwake (evolutionary speaking).

No hard feelings dada yangu lazima uelewe hao watoto watakapokuwa wakubwa nakutengeneza watoto wao wenyewe hawatajali eti baba fulani wa kambo aliwalea vizuri kwahiyo eti wapass genes zake kwa watoto wao. Haiwezekani, wao wata pass genes za baba yao halisi (selfishly) bila kujali nani aliwalea. Ndiyo maana Simba anapoteka majike (a pride) huuwa watoto wote aliowakuta na wala halei watoto wa dume jingine eti kwasababu anawapenda mama zao. Sisi binadamu wa kiume hatuuwi bali tuna sepa ili tu concentrate our resources elsewhere, we are animals first, human second.
 
Mkuu,sasaitakuwaje uki fall in love na mama mweye watoto?
 
Mkuu,sasaitakuwaje uki fall in love na mama mweye watoto?
Bishanga nilishasema kwa mwanaume halisi , yule anayeweza kujitemea mwenyewe, mwenye uwezo wa kuanzisha mji wake (familia) n.k ni ngumu. Huwezi kufall in love barabarani, lazima kuwe na mazingira ya kuwaweka pamoja na kijana mwenye uelewa wa genes war hawezi kukubali kuwa victim.
 
Hii kali,kuoa divorcee/mwenye watoto ni kuwa mhanga/victim?
Na wanaoadopt tena nawakiwa na watoto wao wenyewe?
 
In other weds hakumtunuku ila yalikuwa matamanio tu?
siku zote watu hawaanzi kupenda, ni kutamani kwanza, mahusiano yaanze, yalelewe, yakuwe ndo kupenda kupatikane. ukiona mtu anakwambia amekupenda at first time, anataka akuingize king uwe naye kwanza, lakini ukweli huwa ni kutaman tu. kumpenda mtu kunaweza kuchukua at least 6yrs, kwani tabia mtakuwa mmejuana vya kutosha, na mnaweza msipendane kwa wakati huo ila mkalazimika kusihi pamoja kwa sababu ya social facts, mnaogopa kuachana na jamii itawachukuliaje, hivyo mtu anaamua kuwa mvumilivu tu, kusamehe sana na kukubali kushindwa baadhi ya mambo ili mradi tu ndoa iendelee
 
Hii kali,kuoa divorcee/mwenye watoto ni kuwa mhanga/victim? Na wanaoadopt tena nawakiwa na watoto wao wenyewe?
ni victim ndiyo kwa kuwa mme wake wa kwanza kesha telekeza watoto, hataki hata kuwaona. hivyo wewe unabidi upande shule yao, mavazi yao, malazi yao na huduma nyingine kitu ambacho ulikusudia kufikia baada ya kuzaa na mkeo, ambapo utakuwa umejipanga. sasa unakuwa victim kwa kuwa utaanza na malezi
 
Hii kali,kuoa divorcee/mwenye watoto ni kuwa mhanga/victim?
Na wanaoadopt tena nawakiwa na watoto wao wenyewe?

Usini-quote vibaya mkuu, naomba unisome vizuri kuanzia bandiko langu la #233 nimeongelea kijana mbaye hajaoa na hana mtoto na hapa naongelea ki evolution zaidi. Ni victim kwasababu kuna wakati jamaa atatumia resources zake (muda) kulea watoto ambao ki-evolution hawana faida kwake. Ila kama alivyodokeza Dark City kama jamaa naye ana watoto kwa mwanamke mwingine basi hiyo inakuwa fair game.
 
ni victim ndiyo kwa kuwa mme wake wa kwanza kesha telekeza watoto, hataki hata kuwaona. hivyo wewe unabidi upande shule yao, mavazi yao, malazi yao na huduma nyingine kitu ambacho ulikusudia kufikia baada ya kuzaa na mkeo, ambapo utakuwa umejipanga. sasa unakuwa victim kwa kuwa utaanza na malezi

Kweli kabisa ntamaholo unajua kwa kawaida unapoanzisha familia unajipanga kisaikolojia taratibu, mtoto wa kwanza, wapili n.k sasa wewe unataka kuanza na watatu kwa mkupuo si utachanganyikiwa. Halafu mambo ya "you aint my daddy" nani anayataka.
 
Back
Top Bottom