mtumwa hauawi jamani......

Nimecheka mpaka basi...bishanga hafai hata kulumanga,du!
 
Hata mimi namjua mmoja,ila vilibambaruka wakati huyo mtoto alipopata ajali na kufariki.
 
Kuna kitu kinaitwa 'okwebuga' ni maneno special mwanamme anayatamka alfajiri inayofuatia ndoa yake na baada ya hapo baba yako anakupa mkuki na zawadi (okukushumika),sasa ukioa divorcee/mwenye mtoto hayo maneno utayamka vipi?

Angalia tu usitutukane wenzio......mbona mie niliolewaga na mhaya na wala hakutamka hayo maneno wajameni???
 
Safi sana Kaunga naomba tu niseme tena kwa msisitizo The truth may hurt for a little while but a lie hurts forever!!!!!! mimi naomba kuambiwa ukweli mtupuuuu hata kama uliwahi kubaka au kufungwa jamani nitapokea kwa mikono miwili na :busu juu.

Yummy,duniani humu kuna mtu hana siri,yaani hata iweje atakufa nayo?
Mfano mambo ya incense,huwa yanatamkika kweli? Si watu wanakufa nayo rohoni,mathalan uzae na babako mzazi utamweleza nani?
 
Last edited by a moderator:
Cacico,nina ushahi mzuri wa kusaporti ulichosema,baba yangu mkewe wa mwisho alimkuta ana watoto wa3,walioana na maisha yaliendelea,huyu mama yetu wa kufikia ndo amekua msaad sana kwetu tunapomhitaji!Jamani mwanamke akizaa bado ni mwanamke tu!

Ahsante sana Eiyer,naomba nikupige ma 'like' kama kumi kwenye kanokia kangu.
 
Last edited by a moderator:
Mmmhhhhhhh.......
 
A cowardly way ya kumaliza mambo!

Kaunga,actualy i was planning to tell you this,mimi na we bana basi kuanzia leo,na pete yangu rudisha,na vitz lete ufunguo wa gari,na hiyo nyumba nilikujengea tegeta lete hati hapa......how does it sound Kaunga?
Si bora anayesepa kimya kimya na kukuachia kila kitu?
 
Angalia tu usitutukane wenzio......mbona mie niliolewaga na mhaya na wala hakutamka hayo maneno wajameni???

Na huo mkuki alipewaje,au ndo ya siku hizi ya kukabidhiwa kwenye ukumbi wa harusi? So odd.
 

Yaani haihusiani kabisa. Niambie hivi, Kaunga nafikiri hunihamasishi tena kama zamani, au nimepata mtu mwingine ambaye nataka kuwa naye, so l wont be seeing you again; this is much much better than kutopokea simu, kutafuta excuses mara ooh nimesafiri sehemu ambayo haina mtandao etc.

Hiyo ya vitu, ni kitu nyingine tofauti.
 

Ahaaaaa kwa hiyo nikikusomea riot act,nilivyokununulia sharti ubaki navyo? Au utanitupia usoni.....chukua na ka pete kako....chukua na m fridge wako.....na li plasma lako chukua linanikumbusha sura yako.....na hati lako la nyumba beba uende nalo linanikumbusha dinner ya karambezi......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…