Nyie mnaishi tu,kwani siri?
By the way yuko wapi? Mbonasimwoni jamvini?
una vijineno wewe!Kwani we hujui sheria ya ndoa inasemaje?Mwaka baada ya kuishi tu tulitambulika kama mke na mume.
Kaenda kunitafutia maembe. . .mdogowe na Ashrat anasumbua tumboni.
Nani alikuwepo?
Eh hapa parefu
Aksante Babu DC kwa mchango wako maridhawa.
Mie ninalo swali, inategemea na alivyoanza kughani kwa dada Cindy but huyo shemeji kabla ya kukimbia kama kweli alikuwa anampenda Da Cindy (si kumtamani) alishindwa japo kumwomba wawe friends tu?
una vijineno wewe!
ngoja nihamie kwenye uzi wako wa asubuhi,naona leo umeamka na maftrastresheni.
Kunituma wapi?
Nshakwambia una mafrastresheni,we sa tisa usiku ulikuwa unafanya nini kwenye kompyuta,au uliniota?
Nimepokea ombi maalum toka kwa mama chanja wangu mtarajiwa ,anasema kuna mtu kamwomba ushauri,katika hili naye anaomba mchango wenu.
Ni hivi:
Kuna mdada mmoja (tumwite Cindy), Cindy aliolewa na akaachika.Alipata watoto wawili kwenye ndoa yake na anaishi mwenyewe na wanae.Majuzi kuna baba mmoja aliingia kwenye ofisi ya dada yake Cindy (tumwite Brenda) na hapo ofisini huyo baba aliona picha ya Cindy na akamtunuku. Alijitahidi kuomba contact za Cindy lakini Brenda akawa anakataa.Jamaa king'ang'anizi pamoja na Cindy kumwambia dada yake asitoe contact zake lakini tokana na presha yajamaa mwisho Brenda alimpa jama namba ya Cindy.Zikanza simu na sms zisizoisha mpaka Cindy akakubali akutane na jamaa.Wakakutana,wakala,wakanywa,in the process Cindy akamweleza jama ukweli kuwa yeye ni divorcee with two kids.Kuanzia siku hiyo hajamsikia wala kumwona jamaa tena.
Cindy anajiuliza hivi jamaa kakimbia kisa ana watoto? Au kisa ni u divorcee?apparently dada yake kumbe hakumweleza jamaa kuwa cindy aliwahi kuolewa na ana watoto.
Hivi wanaume mnakerwa kuwa na mwanamke mwenye watoto/divorcee,kwa nini?
Mie ninalo swali, inategemea na alivyoanza kughani kwa dada Cindy but huyo shemeji kabla ya kukimbia kama kweli alikuwa anampenda Da Cindy (si kumtamani) alishindwa japo kumwomba wawe friends tu?
Mkuu,sasaitakuwaje uki fall in love na mama mweye watoto?
MwanajamiiOne
No hard feelings dada yangu lazima uelewe hao watoto watakapokuwa wakubwa nakutengeneza watoto wao wenyewe hawatajali eti baba fulani wa kambo aliwalea vizuri kwahiyo eti wapass genes zake kwa watoto wao. Haiwezekani, wao wata pass genes za baba yao halisi (selfishly) bila kujali nani aliwalea. Ndiyo maana Simba anapoteka majike (a pride) huuwa watoto wote aliowakuta na wala halei watoto wa dume jingine eti kwasababu anawapenda mama zao. Sisi binadamu wa kiume hatuuwi bali tuna sepa ili tu concentrate our resources elsewhere, we are animals first, human second.
Bishanga nilishasema kwa mwanaume halisi , yule anayeweza kujitemea mwenyewe, mwenye uwezo wa kuanzisha mji wake (familia) n.k ni ngumu. Huwezi kufall in love barabarani, lazima kuwe na mazingira ya kuwaweka pamoja na kijana mwenye uelewa wa genes war hawezi kukubali kuwa victim.Mkuu,sasaitakuwaje uki fall in love na mama mweye watoto?
Hii kali,kuoa divorcee/mwenye watoto ni kuwa mhanga/victim?Bishanga nilishasema kwa mwanaume halisi , yule anayeweza kujitemea mwenyewe, mwenye uwezo wa kuanzisha mji wake (familia) n.k ni ngumu. Huwezi kufall in love barabarani, lazima kuwe na mazingira ya kuwaweka pamoja na kijana mwenye uelewa wa genes war hawezi kukubali kuwa victim.
siku zote watu hawaanzi kupenda, ni kutamani kwanza, mahusiano yaanze, yalelewe, yakuwe ndo kupenda kupatikane. ukiona mtu anakwambia amekupenda at first time, anataka akuingize king uwe naye kwanza, lakini ukweli huwa ni kutaman tu. kumpenda mtu kunaweza kuchukua at least 6yrs, kwani tabia mtakuwa mmejuana vya kutosha, na mnaweza msipendane kwa wakati huo ila mkalazimika kusihi pamoja kwa sababu ya social facts, mnaogopa kuachana na jamii itawachukuliaje, hivyo mtu anaamua kuwa mvumilivu tu, kusamehe sana na kukubali kushindwa baadhi ya mambo ili mradi tu ndoa iendeleeIn other weds hakumtunuku ila yalikuwa matamanio tu?
ni victim ndiyo kwa kuwa mme wake wa kwanza kesha telekeza watoto, hataki hata kuwaona. hivyo wewe unabidi upande shule yao, mavazi yao, malazi yao na huduma nyingine kitu ambacho ulikusudia kufikia baada ya kuzaa na mkeo, ambapo utakuwa umejipanga. sasa unakuwa victim kwa kuwa utaanza na maleziHii kali,kuoa divorcee/mwenye watoto ni kuwa mhanga/victim? Na wanaoadopt tena nawakiwa na watoto wao wenyewe?
Hii kali,kuoa divorcee/mwenye watoto ni kuwa mhanga/victim?
Na wanaoadopt tena nawakiwa na watoto wao wenyewe?
ni victim ndiyo kwa kuwa mme wake wa kwanza kesha telekeza watoto, hataki hata kuwaona. hivyo wewe unabidi upande shule yao, mavazi yao, malazi yao na huduma nyingine kitu ambacho ulikusudia kufikia baada ya kuzaa na mkeo, ambapo utakuwa umejipanga. sasa unakuwa victim kwa kuwa utaanza na malezi