Wanaomegwa hawasemi saa ingine,ukute njemba ilimega ikasepa.
sasa kwa nini alimpa ki date in the first place,si kulikuwa na mvuto jamani?Lakini Bishanga hebu kamuulize huyo mama Chanja wako vizuri huyo binti(Cindy) alikua ameshajiwekea kichwani kwamba amepata bwana au?maana sitegemei ukutane na mtu siku ya kwanza tu halafu uone kuwa umeopoa!!(enewei,tunatofautiana lakini lisilowezekana kwangu lawezekana kwa mwingine). Kwa mtazamo wangu mwanamke yeyote mwenye busara zake na kama alishapitia maswahiba ya kutosha sidhani kama angeweza kufikiria hivyo.....
Eiyer umeandika kwa hisia maskini....hapo kwenye red kwakweli acha waninyanyapae tu lakini kuvumilia visivyovumilika BIG NO!!!!! Sili kwa mtu wala siombi mtu msaada wa kulea watoto wangu sasa wananinyanyapaa ili???!!!mimi naona ndio nitawadharau wao zaidi. Kama kweli wahaya wana tabia hii basi nawapa pole.Now nimejua namna wanawake wenye watoto wanavyoteseka na jamii kuwanyanyapaa kwa sababu wana watoto,jambo hili litaongeza maumivu sana kwa wanawake ambao tayari wako kwenye ndoa zenye mateso!Watahofia kuondoka kwa kujua after that hakuna mwanaume atakua anashida nae kwa sababu ya watoto au mtoto unless awe na vitu vya kuwavuta wanaume kama fedha n.k.To my opinion mwanamke wa aina hii ni mwanamke bora kuliko asiyekuwa na mtoto!
nikuulizeni nyie? ninachojua mimi kwa kawaida mwanamke huwa hatoi tunda hivi hivi ,huwa kuna ka tag flan.Bishanga, kwani kumegwa ni lazima uolewe, ina maana wanawake wenzangu huwa hawafanyi sex kwa kufurahisha tu nafsi zao? au mpaka kuwe na ahadi fulani
taratibu mama!Eiyer umeandika kwa hisia maskini....hapo kwenye red kwakweli acha waninyanyapae tu lakini kuvumilia visivyovumilika BIG NO!!!!! Sili kwa mtu wala siombi mtu msaada wa kulea watoto wangu sasa wananinyanyapaa ili???!!!mimi naona ndio nitawadharau wao zaidi. Kama kweli wahaya wana tabia hii basi nawapa pole.
Hilo ni kweli. . .Inawezekana Lizzy,but uzito wa ukweli huwashinda wanawake wengi sana!
kwanza nimpongeze Cindy kwa kuwa wazi kueleza maisha yake mapema bila kuficha ili muhusika akitaka aamue kunyoa ama kusuka......kuhusu mwanaume kushindwa kumweleza ukweli basi angeendelea na mawasiliano ya salam huku akipunguza speed lakini kukata mawasiliano ghafla yameacha maswali mengi kwa mdada hata kama hakuwa na wazo kwamba huyu ndie atampa nafasi ni kutokana na alivyokuwa anahangaika mwanzo na baada ya hapo mawasiliano ya kaenda mrama.
Babu DC nakusalimu
Eiyer umeandika kwa hisia maskini....hapo kwenye red kwakweli acha waninyanyapae tu lakini kuvumilia visivyovumilika BIG NO!!!!! Sili kwa mtu wala siombi mtu msaada wa kulea watoto wangu sasa wananinyanyapaa ili???!!!mimi naona ndio nitawadharau wao zaidi. Kama kweli wahaya wana tabia hii basi nawapa pole.
Biologically wanaume wote wenye akili timamu hawapendi au hawataki kutunza Genes za mwanaume mwingine labda kama aamue kuwa charity organization.
nikuulizeni nyie? ninachojua mimi kwa kawaida mwanamke huwa hatoi tunda hivi hivi ,huwa kuna ka tag flan.
Taratibu ndugu yangu,
Hapa tunaongea mambo yanayoendelea kwenye jamii na wahaya tumewatumia kama mfano. Naamini kila kabila au jamii ina mambo yake ya hovyo ambayo mtu ukiyasikia unaweza kupata hasira na kutaka kuwachukia. Kwa vile huo ndio ukweli, binafsi nadhani tuuvumilie ili tuweze kujadili na kujifunza zaidi. Vinginevyo, tunapoteza opportunity ya kujua mambo yanayoendelea kwa wenzetu!
Najua kwa kiasi kikubwa jambo kama hili linakera sana,
Babu DC!!
Umenikumbusha kitu,
Kuna makabila, mwanamume akioa mke mwenye mtoto mdogo anaweza kumuua ili mwanamke asipoteze muda kunyonyesha na kuchelewesha jitihada zake za kutafuta mtoto wa kwake (kama wanavyofanya simba)!!
Jambo gumu sana ila ni fact ambayo hatuwezi kuikimbia!!
Babu DC!!
Eiyer naomba tukikutana uniambie ukweli wooote wala usibakize kitu halafu baada ya hapo uangallie reaction yangu...sawa?(mimi sitaki kukwambia kitu,utajionea mwenyewe)kama kunibeba kwenye machela,hayaaaaa.....kama kuniona shupavu hayaaaaInawezekana Lizzy,but uzito wa ukweli huwashinda wanawake wengi sana!