mtumwa hauawi jamani......

mtumwa hauawi jamani......

Inawezekana Lizzy,but uzito wa ukweli huwashinda wanawake wengi sana!
 
Are you sure hakuna waliokunywa sumu baada ya mwanaume kukata communication? Na wanaume wangapi nao wamejiua baada ya kukataliwa na wapenzi wao?
yote kwa yote wanaume wengi tuna prefer a softer way ya kumaliza mambo.
 
Wanaomegwa hawasemi saa ingine,ukute njemba ilimega ikasepa.

Bishanga, kwani kumegwa ni lazima uolewe, ina maana wanawake wenzangu huwa hawafanyi sex kwa kufurahisha tu nafsi zao? au mpaka kuwe na ahadi fulani
 
Lakini Bishanga hebu kamuulize huyo mama Chanja wako vizuri huyo binti(Cindy) alikua ameshajiwekea kichwani kwamba amepata bwana au?maana sitegemei ukutane na mtu siku ya kwanza tu halafu uone kuwa umeopoa!!(enewei,tunatofautiana lakini lisilowezekana kwangu lawezekana kwa mwingine). Kwa mtazamo wangu mwanamke yeyote mwenye busara zake na kama alishapitia maswahiba ya kutosha sidhani kama angeweza kufikiria hivyo.....
sasa kwa nini alimpa ki date in the first place,si kulikuwa na mvuto jamani?
 
Now nimejua namna wanawake wenye watoto wanavyoteseka na jamii kuwanyanyapaa kwa sababu wana watoto,jambo hili litaongeza maumivu sana kwa wanawake ambao tayari wako kwenye ndoa zenye mateso!Watahofia kuondoka kwa kujua after that hakuna mwanaume atakua anashida nae kwa sababu ya watoto au mtoto unless awe na vitu vya kuwavuta wanaume kama fedha n.k.To my opinion mwanamke wa aina hii ni mwanamke bora kuliko asiyekuwa na mtoto!
Eiyer umeandika kwa hisia maskini....hapo kwenye red kwakweli acha waninyanyapae tu lakini kuvumilia visivyovumilika BIG NO!!!!! Sili kwa mtu wala siombi mtu msaada wa kulea watoto wangu sasa wananinyanyapaa ili???!!!mimi naona ndio nitawadharau wao zaidi. Kama kweli wahaya wana tabia hii basi nawapa pole.
 
Last edited by a moderator:
Bishanga, kwani kumegwa ni lazima uolewe, ina maana wanawake wenzangu huwa hawafanyi sex kwa kufurahisha tu nafsi zao? au mpaka kuwe na ahadi fulani
nikuulizeni nyie? ninachojua mimi kwa kawaida mwanamke huwa hatoi tunda hivi hivi ,huwa kuna ka tag flan.
 
Eiyer umeandika kwa hisia maskini....hapo kwenye red kwakweli acha waninyanyapae tu lakini kuvumilia visivyovumilika BIG NO!!!!! Sili kwa mtu wala siombi mtu msaada wa kulea watoto wangu sasa wananinyanyapaa ili???!!!mimi naona ndio nitawadharau wao zaidi. Kama kweli wahaya wana tabia hii basi nawapa pole.
taratibu mama!
 
Biologically wanaume wote wenye akili timamu hawapendi au hawataki kutunza Genes za mwanaume mwingine labda kama aamue kuwa charity organization.
 
Inawezekana Lizzy,but uzito wa ukweli huwashinda wanawake wengi sana!
Hilo ni kweli. . .
Ila kama unajua hata usipomwambia ataumia na atabaki na maswali mengi kwanini usimuumize na kujibu maswali yake? Nadhani ni haki kufanya hivyo.
 
kwanza nimpongeze Cindy kwa kuwa wazi kueleza maisha yake mapema bila kuficha ili muhusika akitaka aamue kunyoa ama kusuka......kuhusu mwanaume kushindwa kumweleza ukweli basi angeendelea na mawasiliano ya salam huku akipunguza speed lakini kukata mawasiliano ghafla yameacha maswali mengi kwa mdada hata kama hakuwa na wazo kwamba huyu ndie atampa nafasi ni kutokana na alivyokuwa anahangaika mwanzo na baada ya hapo mawasiliano ya kaenda mrama.
Babu DC nakusalimu

Ahsante sana BW,

Karibu sana jamvini hata kama wengine ndo tumeshamaliza kibarua...tunaaga aga ili tuende kuwasalimia wajukuu!!

Babu DC!!
 
Yes,nakubaliana nawe kama majibu yote a na b ni sawa ila kuna ugumu flan hivi kumwambia mtu jambo litakalomuumiza na ukawa unajua hivyo!
 
Eiyer umeandika kwa hisia maskini....hapo kwenye red kwakweli acha waninyanyapae tu lakini kuvumilia visivyovumilika BIG NO!!!!! Sili kwa mtu wala siombi mtu msaada wa kulea watoto wangu sasa wananinyanyapaa ili???!!!mimi naona ndio nitawadharau wao zaidi. Kama kweli wahaya wana tabia hii basi nawapa pole.

Taratibu ndugu yangu,

Hapa tunaongea mambo yanayoendelea kwenye jamii na wahaya tumewatumia kama mfano. Naamini kila kabila au jamii ina mambo yake ya hovyo ambayo mtu ukiyasikia unaweza kupata hasira na kutaka kuwachukia. Kwa vile huo ndio ukweli, binafsi nadhani tuuvumilie ili tuweze kujadili na kujifunza zaidi. Vinginevyo, tunapoteza opportunity ya kujua mambo yanayoendelea kwa wenzetu!

Najua kwa kiasi kikubwa jambo kama hili linakera sana,

Babu DC!!
 
Biologically wanaume wote wenye akili timamu hawapendi au hawataki kutunza Genes za mwanaume mwingine labda kama aamue kuwa charity organization.

Umenikumbusha kitu,

Kuna makabila, mwanamume akioa mke mwenye mtoto mdogo anaweza kumuua ili mwanamke asipoteze muda kunyonyesha na kuchelewesha jitihada zake za kutafuta mtoto wa kwake (kama wanavyofanya simba)!!

Jambo gumu sana ila ni fact ambayo hatuwezi kuikimbia!!

Babu DC!!
 
  • Thanks
Reactions: LD
Hivi wanaume mnakerwa kuwa na mwanamke mwenye watoto/divorcee,kwa nini ?
Mkuu Bishanga , hapo kwenye RED and Bold kwa hilo swali umenistua kidogo Babaako.
Hebu nifafanulie Babaako before sija comment.
 
nikuulizeni nyie? ninachojua mimi kwa kawaida mwanamke huwa hatoi tunda hivi hivi ,huwa kuna ka tag flan.

Na kinachowaumiza jamaa akiingia mitini ni hicho...kwamba alijua akitoa tunda jamaa anajenga kibanda!

Taratibu ndugu yangu,

Hapa tunaongea mambo yanayoendelea kwenye jamii na wahaya tumewatumia kama mfano. Naamini kila kabila au jamii ina mambo yake ya hovyo ambayo mtu ukiyasikia unaweza kupata hasira na kutaka kuwachukia. Kwa vile huo ndio ukweli, binafsi nadhani tuuvumilie ili tuweze kujadili na kujifunza zaidi. Vinginevyo, tunapoteza opportunity ya kujua mambo yanayoendelea kwa wenzetu!

Najua kwa kiasi kikubwa jambo kama hili linakera sana,

Babu DC!!

Heri aliyemfanya bwana kuwa tumaini lake, wala hakuwaelekea wenye kiburi....sijui kwa nini hii mistari Dauni aliimba. Mwingine afadhali kuanguka katika mikono ya Mungu kuliko mikono ya mwanadamu. Moyo wa mwanadamu hauna jema kabisa yani.....Ukiwa naye mtoto utaitwa vyote bora hata ungeitoa hiyo mimba ukaonekana machoni pao hujawahi kuwa na mtoto wala kubeba mimba wala kuzaa.

Wakikuoa usipozaa mtoto laaaah unajaza choo, Ukiolewa ukizaa akafa tabu pia. Usipozaa halafu hujaolewa, utasikia angezaa hata mtoto wake mmoja akakaa naye.............

Dunia haina jema wandugu....LIVE TODAY, LIVE YOU, Mshukuru Mungu kwa wakati unaokuwa nao. Mheshimu Mungu kuliko mwanadamu, OTHERWISE utaishia kuwa kituko tu....and hutakaa uwe na FURAHA chini ya jua hili ukitafuta kumpendeza mwanadamu. HERI ALIYE MFANYA BWANA KUWA TUMAINI LAKE!!
 
Umenikumbusha kitu,

Kuna makabila, mwanamume akioa mke mwenye mtoto mdogo anaweza kumuua ili mwanamke asipoteze muda kunyonyesha na kuchelewesha jitihada zake za kutafuta mtoto wa kwake (kama wanavyofanya simba)!!

Jambo gumu sana ila ni fact ambayo hatuwezi kuikimbia!!

Babu DC!!

Na kwa wahaya ukioa mwenye mtoto hupewi ule mkuki......prove me wrong Bishanga.
Sasa kama jamaa ni mhaya aliona atakosa mkuki.....
 
Last edited by a moderator:
Inawezekana Lizzy,but uzito wa ukweli huwashinda wanawake wengi sana!
Eiyer naomba tukikutana uniambie ukweli wooote wala usibakize kitu halafu baada ya hapo uangallie reaction yangu...sawa?(mimi sitaki kukwambia kitu,utajionea mwenyewe)kama kunibeba kwenye machela,hayaaaaa.....kama kuniona shupavu hayaaaa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom