MTUNGI WA GAS TUPU (ORYX)

MTUNGI WA GAS TUPU (ORYX)

Mmakuti

Senior Member
Joined
Oct 20, 2016
Posts
168
Reaction score
239
Nauza mtungi tupu wa gas kampuni ya ORYX nipo MOROGORO mjini!
 
Nisamehe mkuu kama nitakuudhi, lakini watu wengi wa Morogoro sio waadilifu. Wana tabia za wizi.
Umepata wapi huo mtungi hadi kufikia kuuza?
 
Nataka kununua mtungi mdogo sababu huu ni mkubwa umenishinda
 
Wanakuja PM,kagua michango yako humu kabla haujatoa mawasiliano yako.Usipokua makini jina lako katikati litaanza kuandikwa C/O jioni ya leo.
 
Exactly
 
Punguza bei mkuu hiyo bei ni kubwa mnoo kwa bei hiyo huwezi kuuza.......
 
Back
Top Bottom