Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nauza mtungi tupu wa gas kampuni ya ORYX nipo MOROGORO mjini!
Nisamehe mkuu kama nitakuudhi, lakini watu wengi wa Morogoro sio waadilifu. Wana tabia zaa wizi.
Umepata wapi huo mtungi hadi kufikia kuuza?
akikujibu naomba ni tag.Nisamehe mkuu kama nitakuudhi, lakini watu wengi wa Morogoro sio waadilifu. Wana tabia zaa wizi.
Umepata wapi huo mtungi hadi kufikia kuuza?
Sawa Professorakikujibu naomba ni tag.
😕😕😕😕😕Hahaaaaa polisi jamii
PROF NDUMILAKUWILINataka kununua mtungi mdogo sababu huu ni mkubwa umenishinda
Mkuu kisa walienda kuiba mafuta au?Nisamehe mkuu kama nitakuudhi, lakini watu wengi wa Morogoro sio waadilifu. Wana tabia za wizi.
Umepata wapi huo mtungi hadi kufikia kuuza?
Weka bei mezani mzee!!! Kuna wengine kama mimi hatujui pm inakaa kwa wapi,!!!Mtungi mkubwa wa kg 30.1
Kwa alie serious anaweza kuni pm