SOLD: Mtungi wa gesi na jiko

SOLD: Mtungi wa gesi na jiko

Status
Not open for further replies.
Mtungi mchafu, vp jiko peke yake unaliuza?
 
Mbona umekaza sana? Mihan gas mwez uliopita niliwakuta jamaa wa promotion wanatangaza 70k
 
Mbona umekaza sana? Mihan gas mwez uliopita niliwakuta jamaa wa promotion wanatangaza 70k
Mi nipo kigamboni hapa karibu na mihani bei zake nazijua, kama mtu anachukua leo nampunguzia bei kidogo
 
Ninao mtungi wa manjis sipati kunakouzwa gas yake anaejua anielekeze
Mkuu gas ni ileile (LPG) ni kama Petrol inavyouzwa tu utakuta kuna station ya Oilcom, Camel,Total nk lakini wote wanauza Petrol.......Kwenye Gas tofauti ni hiyo mitungi tu na muundo wa Valve za kujazia vilevile ni kosa mtungi wa mfano Manjis kwenda kujaza Mfano Mihan.....ni sawa na mfano chupa ya soda ya Pepsi kwenda kujaza mfano soda ya Cokacola......Hivyo basi huo mtungi nenda kwa manji.........
 
mzigo bado upo, nilisafiri kidogo. karibuni
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom