- Thread starter
- #21
Yah, tangu nimeujaza nimetumia kama mara 4 si unajua maisha ya kibachela?Mtungi una gas?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah, tangu nimeujaza nimetumia kama mara 4 si unajua maisha ya kibachela?Mtungi una gas?
KaribuMtungi una gas?
Mtungi unauzaje?Nimeweka
Mungi unauzaje?Nimeweka
60k tu mkuuMungi unauzaje?
Una gesi, nimekutext piaEmpty au?
Hahahaha kwani unapikia nje ya mtungi au gesi ipo ndani? Jiko linauzwa pia lenyewe, wewe tuMtungi mchafu, vp jiko peke yake unaliuza?
Mi nipo kigamboni hapa karibu na mihani bei zake nazijua, kama mtu anachukua leo nampunguzia bei kidogoMbona umekaza sana? Mihan gas mwez uliopita niliwakuta jamaa wa promotion wanatangaza 70k
Jiko pekee ni bei gani?Hahahaha kwani unapikia nje ya mtungi au gesi ipo ndani? Jiko linauzwa pia lenyewe, wewe tu
70k tuJiko pekee ni bei gani?
Mkuu gas ni ileile (LPG) ni kama Petrol inavyouzwa tu utakuta kuna station ya Oilcom, Camel,Total nk lakini wote wanauza Petrol.......Kwenye Gas tofauti ni hiyo mitungi tu na muundo wa Valve za kujazia vilevile ni kosa mtungi wa mfano Manjis kwenda kujaza Mfano Mihan.....ni sawa na mfano chupa ya soda ya Pepsi kwenda kujaza mfano soda ya Cokacola......Hivyo basi huo mtungi nenda kwa manji.........Ninao mtungi wa manjis sipati kunakouzwa gas yake anaejua anielekeze
mbezi kwa msuguliNinao mtungi wa manjis sipati kunakouzwa gas yake anaejua anielekeze