Mtungi wa gesi uoneshe kilichopo ndani kama chupa ya soda.

Mtungi wa gesi uoneshe kilichopo ndani kama chupa ya soda.

Wewe Peleka Upumbavu wako huko....
Gas iliopo kwenye mtungi ni Liquified Gas (iko katika hali ya Liquid na sio vapour)
Next time ukileta upumbavu wako hapa nakutemea makohozi...
Ohoo,tuliza munkari blaza
 
Hakuna kulemba, ngoja nende kwenye point directly.

Ni wangapi kati yetu tunaofaamu kiasi cha pesa tunacholipa kwa ajili ya manunuzi ya gase ya matumizi ya nyumbani kinaendana na ujazo halisi haliyakuwa baadhi yetu mara nyingi tumekuwa tu wapiga simu ili tuletewe ujazo wa gase unaofanana na mtungi ulioisha?.

Aidha ni wangapi wenye Mizani kwa ajili ya kupima mtungi wenye ujazo lengwa mara tu uletewapo na mletaji (mfanya biashara) huyo?.

Maoni yangu, ni vema sasa nyie wafanya biashara mtuletee mitungi ionekanayo hadi ndani kama chupa ya soda au konyagi ili kutuondolea wasisi wa kuuziwa Mbuzi kwenye gunia(kuchakachuliwa).

Ahsanten.
Ni zile pampu za mafuta shely ziwe nyeupe kama peni
 
Hivi wewe unawaeza kuona gesi? Nadhani hukusoma kemia, na kama ulisoma utagundua kuwa gesi nyingi zina 'the following physical properties'... They are color less, test less and in most cases odor less...
Gesi inakuwa under very high pressure and therefore turns into a liquid! Hivyo unaweza kuiona. Gesi zina rangi,

Gases
Name Formula Color
Fluorine F2 very pale yellow/brown
Chlorine Cl2 greenish yellow
Bromine Br2 red/brown
Iodine I2 dark purple
 
Wewe Peleka Upumbavu wako huko....
Gas iliopo kwenye mtungi ni Liquified Gas (iko katika hali ya Liquid na sio vapour)
Next time ukileta upumbavu wako hapa nakutemea makohozi...
acha matusi, mweleweshe. kuwa mstaarabu please!
 
Kama inawezekana kuchangia kwa sitara, inashindikana nini kufanya hvo? Najua tuna malezi tofauti, basi kupitia jf ni vema tukajifunza kwa wale wenye malezi safi.
Mtungu wa hivyo ni mgumi kutengenezwa.gas inajazwa kwa mgandamizo mkubwa sana..pili ukitaka mtungi wa hivyo utakuwa ghali mara kumi au zaid..nani atanunua?
 
Mihani gas wanayo gauge ukinunua unapata hiyo gauge mkuu
 
Hivi wewe unawaeza kuona gesi? Nadhani hukusoma kemia, na kama ulisoma utagundua kuwa gesi nyingi zina 'the following physical properties'... They are color less, test less and in most cases odor less...
Dah.. msiwe mnapinga tu bila kuwa na ufaham jaman, aliyekwambia kitu colorless hakionekani, kwani maji yana rangi gani, mbona tunayaona mkuu, aliyekwambia gas za kupikia ni odorless nani, mbona ukiwasha tu jiko kuna harufu fulani, au ukasahau kufunga unaskia harufu yake

Nadhan jamaa kafikiri vizur nje ya box, si jambo zuri kumkebehi mtu.

Hv vile vibiriti vya gesi vile mbona huwa tunaona kabisa kilichomo ndani, tuanzie hapo.
 
Wewe Peleka Upumbavu wako huko....
Gas iliopo kwenye mtungi ni Liquified Gas (iko katika hali ya Liquid na sio vapour)
Next time ukileta upumbavu wako hapa nakutemea makohozi...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hakuna watu wanaopiga pesa kama wafanyabiashara ya gesi

Hasa wale wanaojaza gas
 
Nunua mtungi wako wa gas kutoka kwa official dealer wa oryx gas. Kila duka lina mzani, na mtungi umeandikwa ujazo wake kwa nje.
 
Gas tunayotumia nj Liquefied Petroleum Gas. Inakuwa kwenye pressure ili Uwe kama maji. Kutengeneza mtungi ambao utakuwa strong kuhimili presha ya ndani na kuwa transparent inawezekana. Lakini gharama yake itakuwa kubwa mno. Kuna utafiti wa sokoni unafanyika sasa, ambao kutakuwa na kifaa ambacho kinakuwezesha kulipia gas kama luku kwa mpesa. Yaani unakaa na mtungi halafu unalipia kidogo kidogo. Labda hiyo inakuwezesha kuona value for money. Kama mwezi huu ukimaliza mtungi kwa tshs 60, 000 Itakua mwezi uliopita nilipunjwa. Natumaini watapata kibali mapema na kuingia sokoni.
Hivi mnaombeza mleta mada mna akili kweli?

Kwani viberiti vya gesi huwa hamuvioni? Kwamba ndani unaiona kabisa gesi ilipoishia imo kama maji?
 
Wewe Peleka Upumbavu wako huko....
Gas iliopo kwenye mtungi ni Liquified Gas (iko katika hali ya Liquid na sio vapour)
Next time ukileta upumbavu wako hapa nakutemea makohozi...

You are such a lazy thinker and your long comment attracts a long 'answer shit' and if I give you one it is going to be long indeed. The one too long like bullshit! Watch out!

You have such a small brain. I wonder how you managed to live with such a filthy matter in your head. For you being alive on such a brain it confirms to me that miracles exist. If your brain was fitted to the mosquito, it wouldn’t have lived an hour because that brain would not be able to function even to such a small creature…
 
Back
Top Bottom