Mtungi wa gesi uoneshe kilichopo ndani kama chupa ya soda.

Mtungi wa gesi uoneshe kilichopo ndani kama chupa ya soda.

Haiwezekani kufanya hivyo,, maana sio liqud material ile,, labda mitungi iwe na guege pembeni mkuu
 
Haaaaa haaaaa
Wewe ni kati ya wakemia bomu kama yule jamaa yetu. Nani kakuambia kitu kikiwa colourless hakionekani?

Hebu tizama maji ya Kilimanjaro kwenye chupa uone kama hutayaona kwa kuwa ni colourless. Pili vitu vinavyoitwa si kwamba havina rangi Ila rangi yake hubadilika kutokana na reflection ya mahali kilipo.

Ni vema pia kufahamu gesi za kupikia zote zina harufu kutegemeana na source ( Odor). Do your homework. Mleta mada kafikiri nje ya box.
Nimechekaaaaa
 
Wewe Peleka Upumbavu wako huko....
Gas iliopo kwenye mtungi ni Liquified Gas (iko katika hali ya Liquid na sio vapour)
Next time ukileta upumbavu wako hapa nakutemea makohozi...
Jamani mtaniua na kicheko haaaaa haaaa
 
Back
Top Bottom