Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
Niweke ipi?[emoji134]Badili avatar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niweke ipi?[emoji134]Badili avatar
Huu mchezo hauhitaji hasiraMasaa yote ulikuwa wapi kunitungia shairi? [emoji57] [emoji57] [emoji57] kwenda huko kwa ajuza wako
Huyo itakuwa inamtisha labdaNiweke ipi?[emoji134]
Nishauri best, niweke ipi isiyotisha?Huyo itakuwa inamtisha labda
Weka hata picha yako itapendeza sana[emoji3] [emoji3]Huyo itakuwa inamtisha labda
Nishauri best, niweke ipi isiyotisha?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kakujibu hapo bestWeka hata picha yako itapendeza sana[emoji3] [emoji3]
Huna hata picha yako, weka itapendezaNiweke ipi?[emoji134]
We nawe sijui upoje? unaahindwa hata kumshauri mwenzio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kakujibu hapo best
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee wewe jamaa ni fala[emoji23]Eeh demiss cha mdeko, mchuchu wangu kimwana
nalipenda lako cheko. usiyejua kununa
na huo mji mtako, nipe (penzi) ntakukuna
ni tayar kwa chochote, nimpokonye mshana.
Lazima nikasirike, maana asubuhi yeye na mwenzie walinambia mie gari bovu nitafute gari zima la kunivuta[emoji53]Huu mchezo hauhitaji hasira
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseeMtoto umeshepuka, kifuani saa sita
Nyuma umejaaliwa, sura nayo umepewa
Picha nikikuvutia, bafuni nakimbilia
Nyuma nakushikilia, na makofi nakupiga
Mabusu nakumwagia, ndimi twazikutanisha
Kisha nakuinamisha, kimoja nakumwagia
NB: umeshepuka = una shape/shepu nzuri.
Cc Dinazarde
Walikwambia hivo kweli?Lazima nikasirike, maana asubuhi yeye na mwenzie walinambia mie gari bovu nitafute gari zima la kunivuta[emoji53]
Cc Ushimen na Nleterewa Nganengo
Nakuandalia shairi hapa, waitMkuu c Naruhusiwa kujitungia mwenyewe pia?[emoji5]
Ebungoja nichutame, maana mtumzima ushanivua nguo.... tehteehhhMasaa yote ulikuwa wapi kunitungia shairi? [emoji57] [emoji57] [emoji57] kwenda huko kwa ajuza wako
Weka hata picha yako itapendeza sana[emoji3] [emoji3]
Kweli kikulacho ki nguoni mwako...asanteni kwa ushauri wenu mbaya [emoji53][emoji53][emoji53][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kakujibu hapo best
Kweli kikulacho ki nguoni mwako...asanteni kwa ushauri wenu mbaya [emoji53][emoji53][emoji53]
Thad badili avatar banaKakuomba umshauri aweke ipi. Muone[emoji23] [emoji23]