nentewene
Senior Member
- Jun 9, 2017
- 144
- 94
Najua una mtu, na wala hautaki tena.
Ila bado nathubutu, ukurasa kufungua tena.
Naumia Kaka wa watu, kwa maumivu ninasema.
Unanifanya Kama kiatu, moyoni inanichoma.
Sasa ni Mara ya tatu, bado unaninyima.
Usisikilize ya watu, wengi wao si wema.
Please nikubalie tu, ilinipate kuhema.