Mtungie shairi lenye ubeti mmoja au zaidi mwanadada umpendaye hapa JF

Mtungie shairi lenye ubeti mmoja au zaidi mwanadada umpendaye hapa JF

Najua una mtu, na wala hautaki tena.
Ila bado nathubutu, ukurasa kufungua tena.
Naumia Kaka wa watu, kwa maumivu ninasema.
Unanifanya Kama kiatu, moyoni inanichoma.
Sasa ni Mara ya tatu, bado unaninyima.
Usisikilize ya watu, wengi wao si wema.
Please nikubalie tu, ilinipate kuhema.
 
Hatuna past ila tutaijenga future
kila kukicha, naicheki yako picha
Nyuzi unazoandika ni pasua kichwa
concious fikra unamnato wa bikra
Ohshandarabasika jinsi ulivyoumbika
wacha nikusifie kwa lugha ya malaika
 
Wewe unayo thamani,
Ya upendo ulo kweli,
U pekee duniani,
Ambaye wastahili,
Kukupa yalo moyoni,

Mi nawe twapendezana,
Kwa pendo lililoshiba,
Hakika tunatoshana,
Kwa dhati pia kwa huba,
Usikize ya watu hasa wenye usuda,

Mimi huyu nimeandikiwa shairi zuri kama hi
[emoji7]Wewe mwenyeweji, nimeshindwa kuvumilia

Asante sana sana, nimefurahi na kuscreenshort kabisa ili kumbukumbu isipotee 😍

Unijulishe bday yako nikushushie bonge moja la thread 😂👌
 
Hahahah!! Wazungu wanasema you're warm welcome..!![emoji9][emoji7]
Mimi huyu nimeandikiwa shairi zuri kama hi


Asante sana sana, nimefurahi na kuscreenshort kabisa ili kumbukumbu isipotee [emoji7]

Unijulishe bday yako nikushushie bonge moja la thread [emoji23][emoji108]
 
Back
Top Bottom