Mtungie shairi lenye ubeti mmoja au zaidi mwanadada umpendaye hapa JF

mke wa mganga nakupenda
japo unapenda pesa,
ntakununulia savanah kila siku ila punguza kupenda hela...
 
Imara, [emoji122][emoji122] wawaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sitaamini macho yangu haki
Wewe unayo thamani,
Ya upendo ulo kweli,
U pekee duniani,
Ambaye wastahili,
Kukupa yalo moyoni,

Mi nawe twapendezana,
Kwa pendo lililoshiba,
Hakika tunatoshana,
Kwa dhati pia kwa huba,
Usikize ya watu hasa wenye usuda,
 
Wewe unayo thamani,
Ya upendo ulo kweli,
U pekee duniani,
Ambaye wastahili,
Kukupa yalo moyoni,

Mi nawe twapendezana,
Kwa pendo lililoshiba,
Hakika tunatoshana,
Kwa dhati pia kwa huba,
Usikize ya watu hasa wenye usuda,

Mimi huyu nimeandikiwa shairi zuri kama hili !!

Ngoja ntarudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…