Hahaha kumbe ilikuwa ni kwa nimpendaye[emoji23][emoji23]Yaan umeambiwa umtungie umpendaye ukamtungia sungura [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha kumbe ilikuwa ni kwa nimpendaye[emoji23][emoji23]Yaan umeambiwa umtungie umpendaye ukamtungia sungura [emoji23][emoji23][emoji23]
Duuh[emoji41]Inna nakuja na mistari yako soon
Ngoja nikutungie weweKazi kweli kweli
HADITHI INAYOKUJA, NI YA SUNGURA SIKIA
Hadithi inayokuja, ni ya Sungura sikia,
Hadithi uliyongoja, leo ninakuletea,
Alitoka siku moja, njaa aliposikia,
Njaa aliposikia, Sungura nakuambia
Siku ile akaenda, Porini kutembelea,
Akayaona matunda, mtini yameenea,
Sungura akayapenda, mtini akasogea,
Mtini akasogea, Sungura nakuambia.
Sungura karukaruka, lakini hakufikia,
Matunda hakuyashika, mikononi hakutia,
Hakika alisumbuka, nguvuze zikapungua,
Nguvuze zikapungua Sungura nakuambia.
Mtazame hapo juu Sungura amelegea,
Mtazame na miguu, matunda anarukia,
Atafanya sikukuu, matunda akifikia,
Matunda akifikia, Sungura nakuambia.
Karuka tena karuka, matunda akarukia,
Mwisho wake akachoka, kachoka hata mkia,
Penye mti akatoka, pembeni akasogea,
Pembeni akasogea, Sungura nakuambia.
“Sizitaki mbichi hizi” Sungura akagumia,
“Naona nafanya kazi, bila faida kujua”,
Yakamtoka machozi matunda akalilia,
Matunda akalilia, Sungura nakuambia.
Sio kama hakutaka, sasa nakupasulia,
Matunda aliyataka, ndiyo kisa akalia
Tunajua hakufika, alichoka kurukia,
Alichoka kurukia, Sungura nakuambia.
Hadithi nimemaliza, nimekwisha simulia,
Jambo moja sikiliza, rafiki yangu sikta,
Usikose kujikaza, mazuri kukazania,
Utamshinda Sungura, utapata mbivu hizi.
Hili shahiri liendee wanaume wa jf wenye tabia za sungura huyu.
Easy peasy lemon squeeze[emoji23]Imara, [emoji122][emoji122] wawaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Easy peasy lemon squeeze[emoji23]
Hamia mitandao mingineJF inaanza kupoteza mvuto aseh
Itafutie vipodozi mkuu[emoji23] [emoji23]JF inaanza kupoteza mvuto aseh
Ngoja nikutungie wewe
Subiri sasaSitaamini macho yangu haki
Nisubirie hapa hapa au unafungua Uzi kabisaSubiri sasa
Wewe unayo thamani,Sitaamini macho yangu haki
Vyovyote vile au Unataka nikufungulie uziNisubirie hapa hapa au unafungua Uzi kabisa
Vyovyote vile au Unataka nikufungulie uzi
Wewe unayo thamani,
Ya upendo ulo kweli,
U pekee duniani,
Ambaye wastahili,
Kukupa yalo moyoni,
Mi nawe twapendezana,
Kwa pendo lililoshiba,
Hakika tunatoshana,
Kwa dhati pia kwa huba,
Usikize ya watu hasa wenye usuda,