[emoji7]Wewe mwenyewe, nimeshindwa kuvumiliaMimi huyu nimeandikiwa shairi zuri kama hili !!
Ngoja ntarudi
Wewe unayo thamani,
Ya upendo ulo kweli,
U pekee duniani,
Ambaye wastahili,
Kukupa yalo moyoni,
Mi nawe twapendezana,
Kwa pendo lililoshiba,
Hakika tunatoshana,
Kwa dhati pia kwa huba,
Usikize ya watu hasa wenye usuda,
[emoji7]Wewe mwenyeweji, nimeshindwa kuvumilia
Mimi huyu nimeandikiwa shairi zuri kama hi
Asante sana sana, nimefurahi na kuscreenshort kabisa ili kumbukumbu isipotee [emoji7]
Unijulishe bday yako nikushushie bonge moja la thread [emoji23][emoji108]
Thanks. Love uHahahah!! Wazungu wanasema you're warm welcome..!![emoji9][emoji7]
Thanks. Love u
AISEE WENGINE HATUNA VIPAJI VYA MASHAIRI
nimejaa teleMkuu upo?