Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
@sweetle waniliza machozi yasiyo kwisha.Au niombe MTU anitungie nimtaje sweetle
Mkuu c Naruhusiwa kujitungia mwenyewe pia?[emoji5]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja kwanza nisubiri apite hapa kwanza, kabla sijatupia mistari....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Bado naendelea kumulika kwa kurunzi kama nitamuona.... tehteehhh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ongeza na rada ili ukimulika umanase piaBado naendelea kumulika kwa kurunzi kama nitamuona.... tehteehhh
Aiseeeeeeeh siamini macho yanguDemiss my love, nimekupenda siku nyingi.
Pembe langu la ndovu, lanitesa nikiona lako wigi.
Umati jf wanishangaa, napoandika shairi hili.
Uko wapi Demiss wangu, njoo ua la moyo wangu.
Hahahahahah ana tunguli za kujikingaUshawahi kulogwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeona kabisaa hata mimi[emoji3][emoji3][emoji3] nmetoa ya moyoni!
Haha...Demiss my love, nimekupenda siku nyingi.
Pembe langu la ndovu, lanitesa nikiona lako wigi.
Umati jf wanishangaa, napoandika shairi hili.
Uko wapi Demiss wangu, njoo ua la moyo wangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona ana utani na mshana Jr , japo kaexpress feelings zake
Lazima shem shairi utungiwe maana si kwa mkia huo.Nimeona kabisaa hata mimi
We jamaa huwa unanichekesha sana. Maisha ya jf unayapa mno uhalisia ndugu, utakufwa kwa pressure aseeeMi ningemtungia Mzigua90 lakini naona la kwangu litafukiwa.
Nani huyo?Ngoja kwanza nisubiri apite hapa kwanza, kabla sijatupia mistari....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ngoja mie nikutungie...Mkuu c Naruhusiwa kujitungia mwenyewe pia?[emoji5]
Haliwezi fukiwa... We mwaga shairiMi ningemtungia Mzigua90 lakini naona la kwangu litafukiwa.
Mkuu nikifa kwa presha itakua ndio njia aliyonipangia Mungu.We jamaa huwa unanichekesha sana. Maisha ya jf unayapa mno uhalisia ndugu, utakufwa kwa pressure aseee
Mkali? Huyo nungunungu mwenyewe ana miba lakini ikifika wakati wake mwenyeweee anailaza miba yakeMkali