Uganda – Inaongozwa na serikali ya Yoweri Museveni. Mtoto wake, Muhoozi Kainerugaba, amewahi kutoa kauli za kusifia asili yake ya kitutsi na kuonyesha uungaji mkono kwa kundi la M23.
Rwanda – Kwa mujibu wa makadirio yanayotajwa mara nyingi, Watutsi ni takribani asilimia 14, huku Wahutu wakiwa karibu asilimia 85.
Baada ya mwaka 1994, Rwanda ilipiga marufuku siasa zinazochochea ukabila, Nchini Rwanda ni kosa la kisheria kuulizana au kuzungumzia mambo ya wahutu na watutsi, lakini jambo la kushangaza, vyeo vya juu serikalini hadi jeshini vimejaa watutsi.
Burundi – Watutsi ni takribani asilimia 14, huku Wahutu wakiwa karibu asilimia 85
1966 hadi 1993, Burundi ilitawaliwa na marais Watutsi kupitia jeshi lililokuwa limejaa Watutsi. Majaribio kadhaa ya wahutu kujitetea yalishindikana ikiwemo 1972 waliuawa wahutu laki 1 hadi laki 2. 1993 Chini ya shinikizo la kimataifa, Rais wa Kitutsi Pierre Buyoya alilazimika kuruhusu uchaguzi wa vyama vingi, 1993 Burundi ilipata rais wa kwanza wa kihutu Melchior Ndadaye alieuawa baada ya miezi mitatu na wanajeshi wa kitutsi, Mrithi wake Cyprien Ntaryamira naye alikuwa mhutu aliweza kuitetea nafasi lakini aliuawa April 6, 1994 akiwa kwenye ndege Pamoja na rais wa Rwanda aliekuwa mhutu, Matukio haya yalipelekea wahutu kupata hasira, Rwanda iliingia kwenye mauaji makubwa ya kimbari na Burundi vita ilidumu miaka 12 iiyopelekea vifo vya wahutu laki 3. Mnamo Julai 1996, Pierre Buyoya alinyakua upya mamlaka ya Urais. Presha ya kimataifa ilikuwa kubwa iliyolazimu kusainiwa kwa Mkataba wa Amani wa Arusha wa mwaka 2000,
Mkataba huo uliamuru wahutu na Watutsi kuwepo kwa asilimia 50/50 Jeshini na asilimia 60/40 serikalini, bado ni win kwa watutsi ukiangalia idadi yao.
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) – Mashariki mwa nchi hiyo, hasa katika maeneo ya Kivu Kaskazini na Kivu Kusini yaliyo na madini mengi, kuna jamii za Watutsi wa Kongo, Sehmu hii kuitawala ni ngumu sana.