Like serious?sinaga michezo ya kudanganyana mie let's wait and seeSame applies to Kiba and Simba...akichukua mmoja wapo nitafute nakupa Tzs 50,000
HehehehSame applies to Kiba and Simba...akichukua mmoja wapo nitafute nakupa Tzs 50,000
mmmh hata mimi ndo nasubiria umemuona semenya red carpet?nataka nione mond anachukua tuzo au
Hayo ni yako sijasema Mimi!!Umelenga kisa kiba hanaga tuzo
Ngoja nicheck njia nyingine ya kukupataumeblock pm sikupati
Hajapata airtime nzuri western na kitu kingine wenzetu wanaimba nyimbo zinaeleweka asilimia kubwa kwa kiingereza sasa sisi kiswahili kingi ni ngum sana kupromote mbka ujulikane sana ndio utaanza kushindaVanesa bado nyimbo zake hazieleweki hafu uzungu mwingi Yemi nyimbo zake kila sehemu had kwenye masherehe
Am Gentleman....man of his word...nakupa mzigo huo hakuna tunzo itakuja bongoLike serious?sinaga michezo ya kudanganyana mie let's wait and see
Nawachagua mashaidi ni Diva Beyonce na shunie ole wako unirushe ndio utanijua mie ni nani[emoji109] [emoji110] [emoji123]
hahahhh nimemuonammmh hata mimi ndo nasubiria umemuona semenya red carpet?
okay nakusubiliNgoja nicheck njia nyingine ya kukupata
Hafu aanze kuimba vya maana IPO cku atafika tu mbona diamond kafika mbali na huimba kiswahili, mafikizolo huimba lugha yao ila wamefika mbali.Hajapata airtime nzuri western na kitu kingine wenzetu wanaimba nyimbo zinaeleweka asilimia kubwa kwa kiingereza sasa sisi kiswahili kingi ni ngum sana kupromote mbka ujulikane sana ndio utaanza kushinda
Lazima tutamshurutisha atoe hyo hela wakishindaLike serious?sinaga michezo ya kudanganyana mie let's wait and see
Nawachagua mashaidi ni Diva Beyonce na shunie ole wako unirushe ndio utanijua mie ni nani[emoji109] [emoji110] [emoji123]
Ok poa ngoja tuone na hata tukikosa si utanipa tu hiyo hela???[emoji1]Am Gentleman....man of his word...nakupa mzigo huo hakuna tunzo itakuja bongo
Kipengele gani? Punguza chukiDaaaah!!!!Kipengele cha simba kishapita na HAJAPATA YEYE,hongera simba kwa kushirik.