MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

hii ndio ile inayo itwaga asante kwa kushiriki ,basi hata kamoja tuuuuuu.............
 
Hajapata airtime nzuri western na kitu kingine wenzetu wanaimba nyimbo zinaeleweka asilimia kubwa kwa kiingereza sasa sisi kiswahili kingi ni ngum sana kupromote mbka ujulikane sana ndio utaanza kushinda
Hafu aanze kuimba vya maana IPO cku atafika tu mbona diamond kafika mbali na huimba kiswahili, mafikizolo huimba lugha yao ila wamefika mbali.
 
Back
Top Bottom