Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
unaharisha au ?Sina hata amani wadau..
Nashukuru kwa ushirikianoLazima tutamshurutisha atoe hyo hela wakishinda
Miguu ni yako ktk avatar???
tena wamempa heshima sana..Vanessa Mdee aliwekwa na majabali kwa ufupi walimuonea sana.
Hahahahah si nimekuambia am man of his word...Ok poa ngoja tuone na hata tukikosa si utanipa tu hiyo hela???[emoji1]
[emoji28][emoji28]unaharisha au ?
tiwa savageKwa Africa hamna msanii wa kike anayefikia level za Yemi
Nimecheka kwa sauti,[emoji1]Ok poa ngoja tuone na hata tukikosa si utanipa tu hiyo hela???[emoji1]
Naona tiwa hakuti kwa Yemi sema naye yuko vzuri Yemi alade anajulikana mnotiwa savage
Huma Sekela...Living Legendhuyu mzee ni nan
Hahahaha watu wanajua kukamata fursaNimecheka kwa sauti,[emoji1]
Ok ngoja tusubiriHahahahah si nimekuambia am man of his word...
Usicheke my dia usije ukasababisha nikakosa helaNimecheka kwa sauti,[emoji1]
Usilale can't wait atakavo perfomHuyu mzee aloshusha mistari hapa kanivutia sana. Wadau nasikia diamond atapanda jukwaani utakuwa sa ngapi?