MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

Leteni update izo naona sauti sol washachukua so na kiba nae mmesema atapewa ya kwake au inakuaje hapo.........
 
Hata yotube kuna live streaming just type MTV MAMAlive wapendwa
 
Alikiba kaingia kwa mbwembwe.......... ameingia amekaa kwenye kiti cha mfalme na nyuma ya hicho kiti kuna bendera ya Tanzania......... ila mavazi kama mganga wa kienyeji
 
Back
Top Bottom