Sele Mkonje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 643
- 845
kunyata[emoji23][emoji23][emoji23]tukikosa tuzo kesho kesiMoyo unanidunda utadhani mimi ndo mshiriki...anyway
Ngoja nilale
Ntakuja kwa kunyata kesho asubuhi kwenye huu uzi
yes hana juhudi kabisaKwa kweli tiwa anajua ila naona kajiridhikia na alipo fika
itaenda mbaliItaenda kenya
Very unlikelly my dearYani nakuombea hapa, kitita ni chako anza kupanga matumizi tu.
Angalia MTV wapo Live.Azam One wamenizengua...
Elezea babu kivp ameuaMa niccah kiba ameuaaaaa
Kina Yemi wanamfunika hata kuwa nominated nayo ni hatuayes hana juhudi kabisa
Kazingua sana, kaweka sifa mbele mpaka akawa hasikikialikiba anavituko sana
mmoja anabeba!Same applies to Kiba and Simba...akichukua mmoja wapo nitafute nakupa Tzs 50,000
Aisee... wCB patakuwa doro,kunyata[emoji23][emoji23][emoji23]tukikosa tuzo kesho kesi
Tiwa savage nafikiri likizo ya uzazi imemchosha sanaKina Yemi wanamfunika hata kuwa nominated nayo ni hatua
Kama shingo lako lina shipa hyo sio kaz yangu kukunyooshaElezea babu kivp ameua
na mondi bado hajapafomu??
Ukweli upi?Bora umejib yeye kakimbia kisa nimemwelezea ukweli