One Man Down...Hongera wizkid kushinda hyo tuzo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
One Man Down...Hongera wizkid kushinda hyo tuzo
km Mimi...Wengine mambo ya utimu tulishayaacha maana ni upuuzi na kuwa discourage wasanii wetu.
Majizzo iyo kasi yako si mchezoe tv pia wanaonyesha
thnxFatilia e.tv ile ya south ndio wameanza anza
Man of his word....one man downOooh too bad hela ndio nakosa hivyo
Huwa hamkosekani nyieSas kwel kiukwel kiba mbona analeta ushamba au kwa kuw ni 1st tym, wote wanajua kuwa kiba from tz sas bendera ya tz kwny kiti chake mpauko et mfalme ya nn mamb mengn kiba bwana [HASHTAG]#swaggless[/HASHTAG]
Habari miss upo, nakusalimia tu mkuu wanguhulali?
Zuku tupa kule,kisembuzi ni Azam na DstvMajizzo iyo kasi yako si mchezo
izo station nyingine vp hawaonyeshi like eatv au cloudstv maana tuna zuku wengine
What about Kenya?? Maneno ya mkosajohizi tunzo waziite tu za south africa - Nigeria award
all the bestMi namsubiria Bin laden tuu hamna namna
who?One Man Down...
ila kaimba na wiz mzk mzurLabda aisee ila mwanawe sasa kashakuwa mkubwa
Startimes chanel 115Kisimbusi gani namba ngapi