Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Msanii bora wa Africa upande wa wanaume.Kipengele kipi??
nadhani ile ngoma ya shabba imemsafishia njia kupata iyo tuzo
nshaachaga huo utotoNi ujinga flani wakuwapa stress wasanii mbaya ya hizi timu ni kutukana na kukashifu kila jambo hata kama ni zuri
Hahahaha niongeze dau kwa aliebaki?Wewe mtu mbona napoteza matumaini ya hela
pole yakeSimba
Piga moyo konde[emoji22] [emoji22] [emoji22] tushaikosa best male
We jamaaa sjui nikupe nini hahahhahahhahahahah umenifanya niangalie kitu online
Afadhali umeliona hili mkuuhizi tunzo waziite tu za south africa - Nigeria award
Sasa unacho lia nin Ndugu yanguJamani[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani usinchekesheBado nawaza saana Zile tuzo mashauzi Airport/ Je itapofika atama Mtadiriki hata japo kunipost?
JIKAZE CHIBU...TANZANIA GOOO...
Hapa nimejikunyata kwenye sofa natetemeka....
Tuzo za Mtv Mama mtu huwa hachukui mara mbili mfululizo! Msanii bora wa mwaka Atakuwa Diamond! Over!
Kiba chenga tu huyo habadlk anawez kuleta ufalm hata ukwenkiba analeta ufalme mpaka ugenini anatangaza beef[emoji23][emoji23]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Wooooooyoooooo wizkidiyoooo starboiiiii best maleee woyyyyoooo kura zangu hazikuenda bure
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/18021943Nimefurahi Wizkid ameshinda, anakosaga tuzo sana. Atafurahia sana
Najua Diamond nae atamfurahia kwa kweli
angalau unanipa moyo wa matumainiTuzo za Mtv Mama mtu huwa hachukui mara mbili mfululizo! Msanii bora wa mwaka Atakuwa Diamond! Over!