MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

ASA kwann aligoma kuingia stejini ad wizkid apande?, AF Leo cha ajab kaanza yy, inamaana pale ye ndo dogo au
Duuh hzo comments peleka insta kule utakutana na w.a.puuzi wenzako,usitake kuuanika uj.i.nga wako hapa,kama hukufuatilia vzr habar pande zote mbili huo ni upopoma wako kuja na light arguments kama hizo
 
bora tulivyokosa kwa sababu angepata yyt kati ya kiba au dai humu leo dharau,nyodo na ujinga wote watu wangekula ban sana

tujifunze kushirikiana tatizo hatuna ushirikiano haya kiko wapi!

vita ya panzi furaha ya kunguru!!.
tubadilike waungwana!

mnaochukia Kiba jiulizeni amewafanya nn?sababu ya msingi hamna!

Mnaomchukia daimon jiulizeni amewafanya nn sababu ya msingi hamnaa!

tubadilikeee!wote ni wakwetu wa hapahapa
 
Kila siku anatukana fans? Eeh leo katukana nini? Embu tujuze. Na jana na juzi pia embu tuambie mitusi aliyotukana?
Achana nae huyo! Huyo dada inaonekana ana chuki na familia ya Diamond. Ukiona anasema lolote kuhusu Diamond au Zari basi ni negative hata kama hana uhakika na anachoongea. Siku imetolewa Salome akakurupuka na kuleta thread hapa kwamba Diamond ameimba wimbo wa Saida Karoli Akaja kuumbuka zilipoanza kusambaa picha za Diamond na Sallam wakiwa na Mzee Mutta.
 
anaelianzisha nani? mfano juzi alivokuwa anamrushia kashfa hamisa .good thing hamisa hakumjibu hata .kilichomfanya asikae kimya ni nini? ana nyumba hapa bongo huyo zari?
Yeye alisema alieacha vile vidude vyake akavifuate na nyie na viherehere vyenu ndo mkaleta habari za Hamisa. Wewe unaonekana ni dizaini za akina Mange. Hata kama mtu hakujui, hajakufanya chochote lakini kwa kuwa humfikii tayari unakuwa na nyongo nae! Unakumbuka siku umekurupuka na kuleta habari za Diamond kuiba wimbo?
 
Ni awards tu, kwahiyo sio big deal.
 
So mwaka huu hamna.....Picha za kulala na Tuzo....Hamna kwenda Airport..... Kuna Scorpion tu...na Mwalimu Msigwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Navy Kenzo-Awards Winning~0
Diamond Platnumz -Awards Winning~0
Yamoto Band-Awards Winning~0
Ali Kiba -Awards Winning~0
Vanessa Mdee-Awards Winning~0

Kwani Mbwana Samatta hakuepo kwenye Nomination...??
 
Alikiba kaimba vizuri!! Truth be told, diamond nkama alikuwa akihema Sana!! Mengine ya suti Kubwa, cjui nini nawaachia Nyie, Ila kiba kaimba vizuri
Ni kweli unajuwa mimi mpaka sasa nakuwa sielewi au kutofautisha ni nini kinafanya leo tuwajue kuimba au ku dance. Diamond ajue yeye sio mcheza show ni singer. Kweli kama ni hivi nyimbo moja tu tena playback unahema sasa show ya 2 hours live sio kazi non stop.
 
kweli mkuu diamond hawezi kushinda hizi tuzo maana hapa bongo ana kura chache sana nadhani ni wakati wa kujifunza kuweka muziki wake mbali na mapenzi
Wana muziki haswa ni congo tu ukiwasikia kwenye CD na live utawapenda live zaidi wengine wote ni utani tu mimi tofauti utaona kuja kuimba live ndio utajuwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…