Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Waswahili mna midomo sana, huyu Diamond si juzi tu kapata tuzo Marekani?Diamond ajifunze kitu kimoja tu, kuwa familia isiingilie maisha ya anayofanya.
Alichofanya mama yake na dada yake juu ya Zari kilimpotezea mashabiki wa kufa nae wengi tu. I mean wale wa kusema pia lazima wamapigie kula.
It's about time mama yakr akar pembeni, yaani hata kwa social media atoke.
Ila naona wamekaa kimya sijakutana na drama, bali wamechangia kumpotezea mashabiki.
Please nielewe nasema hivi si tu sababu ya kukosa tuzo but kwa mbeleni pia.
Kwenye tuzo hizi kipengele walichomuweka Diamond kama angeshinda hata hizo tuzo zingekosa maana kabisa.