MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

kuna hawa hawa majamaa wanamambo yakike kweli wanajiita mabingwa wakuchamba duller square na shish baby
Tena hao kinyaa kabisa staki hata kuwasikia ...mavi matupu...nawaambia kabisa ni mavi matupu hao wakashtaki nimewatukana...ndo hao hao wanaokula kupitia mabifu haya na ndo hao hao wanaoyakuza mambo na kuleta uchonganishi kwa fan base ya hawa wasanii, kuna diamond na ali, kuna ya vanesa na shilole sijui iliishia wapi,,yan hao ndo hua wanaleta habar za kichonganishi ..sasa unakuta kati ya hao mavi wawili anatoa habari kumponda ali kiba ..

fans wa ali kiba wakifungua wakakuta na wakasoma wanachukia nao wanatafuta page ya mtu anaemsapoti diamond basi wanalipizia huko na ndivo inavokwenda
 
Sorry sohwa, I hope you don't much about broda thing! Back to the discussion; sasa credit inaingia wapi? Suala la kuimba Live sio jipya lakini watu wanaangalia umepata nini! Diamond kwa mfano; mwaka jana alichukua Best Performing Act... kama kawaida ya Wabongo; wakaanza kuponda kwamba tuzo ya kukata viuno! Watu tukasema hamfahamu maana ya ile tuzo... muziki ni burudani na moja ya burudani za muziki ni performance! Moja ya credit kubwa ambazo hata Michael Jackson alikuwa nazo ni performance! Tukasema hapa mwaka jana; hii tuzo Diamond itampa tours nyingi sana za ku-perform! Hata wewe ni shahidi kuhusu tours nyingi alizopata mwaka huu! Lakini Kiba ku-perform live sio issue na hata wewe unajua huo ubora unaosema unamlinganisha na Diamond and nothing else! Lakini endapo angechukua tuzo; ingekuwa ni habari nyingine!
Ngoja Nikuulize hivi hizi tuzo za 'live performer wazuri Hazina maana ?'zina maana Ndio sababu zipo,, na usishangae siku nyingine alikiba akanominatiwa Kama artist bora kwenye live performance, Alikiba kafanya vizuri sana, na tusijaribu kuona kama ni kawaida, kaimba vizuri na anastahili pongezi!! kuhusu brother thing umejudge vibaya, Sikuelewa Kama ulimaanisha 'ndg' Bali jinsia
 
team mondi
 
team mondi Leo hatareee
 
Apige kazi haswa, mambo ya vijembe kwenye instagram aache..amwambie na zari wake kabisa na hao dada zake, yani kazi kazi..awe anapost kazi zaidi na sio vijembe sjui bulshits bulshits za namna gani aachane nazo..
Pia aache kutetemeka jukwaani.
 
Lakini at least diamond alishawahi kushinda mtv awards, kukosa mwaka huu haiziondoi alizopata mwaka jana tayari ana history yake. Kiba sasa!
Hakyanani tena, kwa akili hizi [emoji115] na mwakani hampati kitu. Sipendi ujinga ujinga wa haya matimu ila hizi tuzo za MTV na zile za AFRIMA mbona zinakinzana kwa kiasi kikubwa, ina maana watu walipiga kura afrima halafu wakazipotezea za mtv? Hayo matimu yenu yafie mbali.
 
hawawezi juzi sallam anasema tuonane mtv[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] alijua atashinda....

bora tu walivyoshindwa wote..

allykiba nae Mombasa alikataa kuwa wa kwanza jukwaani eti yy ni mkubwa kuliko wizkidayo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....
na tushindwe tu!
Hivi ni kweli Ali Kiba aliongea ushuzi huo?

Anyway sometimes hakuna haja ya kutumia nguvu nyingi kumjibu mpumbavu, Wiz Kid amemjibu Ali Kiba kwa vitendo kwenye hizi tuzo, this is how smart guys apply.
 
Back
Top Bottom