Clueless14
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,108
- 4,751
Tuzungumzie la sasa, yaliyopita yamepita
Ndio kilichowapeleka? Mliwapigia kura ili warudi na pesa?wanarudi na pesa za kufanya performance ya kimataifa
Tena hao kinyaa kabisa staki hata kuwasikia ...mavi matupu...nawaambia kabisa ni mavi matupu hao wakashtaki nimewatukana...ndo hao hao wanaokula kupitia mabifu haya na ndo hao hao wanaoyakuza mambo na kuleta uchonganishi kwa fan base ya hawa wasanii, kuna diamond na ali, kuna ya vanesa na shilole sijui iliishia wapi,,yan hao ndo hua wanaleta habar za kichonganishi ..sasa unakuta kati ya hao mavi wawili anatoa habari kumponda ali kiba ..kuna hawa hawa majamaa wanamambo yakike kweli wanajiita mabingwa wakuchamba duller square na shish baby
Ngoja Nikuulize hivi hizi tuzo za 'live performer wazuri Hazina maana ?'zina maana Ndio sababu zipo,, na usishangae siku nyingine alikiba akanominatiwa Kama artist bora kwenye live performance, Alikiba kafanya vizuri sana, na tusijaribu kuona kama ni kawaida, kaimba vizuri na anastahili pongezi!! kuhusu brother thing umejudge vibaya, Sikuelewa Kama ulimaanisha 'ndg' Bali jinsiaSorry sohwa, I hope you don't much about broda thing! Back to the discussion; sasa credit inaingia wapi? Suala la kuimba Live sio jipya lakini watu wanaangalia umepata nini! Diamond kwa mfano; mwaka jana alichukua Best Performing Act... kama kawaida ya Wabongo; wakaanza kuponda kwamba tuzo ya kukata viuno! Watu tukasema hamfahamu maana ya ile tuzo... muziki ni burudani na moja ya burudani za muziki ni performance! Moja ya credit kubwa ambazo hata Michael Jackson alikuwa nazo ni performance! Tukasema hapa mwaka jana; hii tuzo Diamond itampa tours nyingi sana za ku-perform! Hata wewe ni shahidi kuhusu tours nyingi alizopata mwaka huu! Lakini Kiba ku-perform live sio issue na hata wewe unajua huo ubora unaosema unamlinganisha na Diamond and nothing else! Lakini endapo angechukua tuzo; ingekuwa ni habari nyingine!
Zipii hzooo hahahhahahha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mond kashinda TUZO za USA
ndio kilichowapeleka ni ku-perform(ali kiba/diamond) na kuwania tuzo.. kama sio bora huwezi ku-perform.. jipime kwanzaNdio kilichowapeleka? Mliwapigia kura ili warudi na pesa?
MTV wanafananusha na ujingaujinga!Zipii hzooo hahahhahahha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
team mondiSorry sohwa, I hope you don't much about broda thing! Back to the discussion; sasa credit inaingia wapi? Suala la kuimba Live sio jipya lakini watu wanaangalia umepata nini! Diamond kwa mfano; mwaka jana alichukua Best Performing Act... kama kawaida ya Wabongo; wakaanza kuponda kwamba tuzo ya kukata viuno! Watu tukasema hamfahamu maana ya ile tuzo... muziki ni burudani na moja ya burudani za muziki ni performance! Moja ya credit kubwa ambazo hata Michael Jackson alikuwa nazo ni performance! Tukasema hapa mwaka jana; hii tuzo Diamond itampa tours nyingi sana za ku-perform! Hata wewe ni shahidi kuhusu tours nyingi alizopata mwaka huu! Lakini Kiba ku-perform live sio issue na hata wewe unajua huo ubora unaosema unamlinganisha na Diamond and nothing else! Lakini endapo angechukua tuzo; ingekuwa ni habari nyingine!
team mondi Leo hatareeeNgoja Nikuulize hivi hizi tuzo za 'live performer wazuri Hazina maana ?'zina maana Ndio sababu zipo,, na usishangae siku nyingine alikiba akanominatiwa Kama artist bora kwenye live performance, Alikiba kafanya vizuri sana, na tusijaribu kuona kama ni kawaida, kaimba vizuri na anastahili pongezi!! kuhusu brother thing umejudge vibaya, Sikuelewa Kama ulimaanisha 'ndg' Bali jinsia
Leo Tanzania Imepoa, kilamtu hana rahaTeh teh teh!unanivunja mbavu japo ninamajonzi..
Pia aache kutetemeka jukwaani.Apige kazi haswa, mambo ya vijembe kwenye instagram aache..amwambie na zari wake kabisa na hao dada zake, yani kazi kazi..awe anapost kazi zaidi na sio vijembe sjui bulshits bulshits za namna gani aachane nazo..
Nimeziangalia hzo tuzo kwanza zmefanyija uwanjwa wenyew hata uwanja wa uhuru mkubwa yena sana hahahahMTV wanafananusha na ujingaujinga!
Acha ujinga weweHawa mtv mbwa wote pumbavu
Hakyanani tena, kwa akili hizi [emoji115] na mwakani hampati kitu. Sipendi ujinga ujinga wa haya matimu ila hizi tuzo za MTV na zile za AFRIMA mbona zinakinzana kwa kiasi kikubwa, ina maana watu walipiga kura afrima halafu wakazipotezea za mtv? Hayo matimu yenu yafie mbali.Lakini at least diamond alishawahi kushinda mtv awards, kukosa mwaka huu haiziondoi alizopata mwaka jana tayari ana history yake. Kiba sasa!
Hivi ni kweli Ali Kiba aliongea ushuzi huo?hawawezi juzi sallam anasema tuonane mtv[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] alijua atashinda....
bora tu walivyoshindwa wote..
allykiba nae Mombasa alikataa kuwa wa kwanza jukwaani eti yy ni mkubwa kuliko wizkidayo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....
na tushindwe tu!