People have nothing
Ukimaliza huu mjadala usio na tija nishitue and I hope bado hujapiga komeo!! Wenzetu huko wanafurahia kupata A+ ya Kiinglishi wengine huku wapo busy kusema hata kama nimepata F lakini mwandiko wangu kwenye paper ni mzuri kama nimetaipu na mashine!Wanafikiri kila mtu ni the so called "shabiki andazi" nadhani hata nilichosema kuhusu Diamond hakukisoma pia.
Btw I mic u, ndo tumechuniana au?