Ukimaliza huu mjadala usio na tija nishitue and I hope bado hujapiga komeo!! Wenzetu huko wanafurahia kupata A+ ya Kiinglishi wengine huku wapo busy kusema hata kama nimepata F lakini mwandiko wangu kwenye paper ni mzuri kama nimetaipu na mashine!Wanafikiri kila mtu ni the so called "shabiki andazi" nadhani hata nilichosema kuhusu Diamond hakukisoma pia.
Btw I mic u, ndo tumechuniana au?
We are talking about a current issue, ukitaka history nenda makumbusho
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbuzi Mama'ko mzazi kenge wewe.
Ndo maajabu ya mashabiki wa Kiba haya.... kwahiyo Diamond kakosa tuzo sasa Kiba kapata nini? Halafu mbona unarudia rudia suala la Kiba wakati nishakuambia mimi sio shabiki wake?! Au ulitaka nimsifie ame-perform vizuri?! Binafsi hamna cha ajabu nilichokiona zaidi ya watu kujifariji! Kwenye soka Watanzania utawasikia "hata kama timu imetolewa lakini imetolewa kiume...!" Yote haya ni kujifariji tu! Hata wewe leo unamkana Kiba unajua kabisa kwamba unajifariji tu... plain and clear; TUMEKOSA TUZO na mengine yote ni kelele tu za kukosa!hata siku moja binamu huwezi msifia kiba!..
ww ni timu dai for better for worse![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
poleni kwa kukosa tuzo!
ni nshaacha ushabiki maandazi sasa hivi niliwapigia kura wote unfortunately wamekosa baasi
nashabikia wote sasa hivi!
poleni lakini
sio mbaya mnapata hizi tuzo mbuzii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
ANAYESEMA YALIYOPITA SI NDWELE HUYO NI FALA,KAMA NI HIVO REAL MADRID HISINGEHESABIKA KAMA NI TIMU ILIYOCHUKUA MARA NYINGI ZAIDI CLUB BINGWA ULAYA.HII HAPA NI HISHORIA YA DIAMOND KUCHUKUA TUZO NA MAKABATI YAMEJAA,POLE YAO AMBAO HAWAJAWAHI KUCHUKUA TUZO NA WAPO TOKEA 2003 KTK MUZIKI.
View attachment 422795
NA HII NDIO TUZO YA MTV ALIYOCHUKUA DIAMOND MWAKA ULIOPITA KUKIWA NA KAMPENI MAALUM YA TIMU KIBA,JOKETI NA WEMA ILIYOKUWA INASEMA KURA KWA WIZKID NA AKACHUKUA MBELE YAKE.
Ni m.p.uuzi pekee anaweza kukubaliana na hizo pumba zako,eti mondi kazoea venue kubwa na kilichofanya atetemeke Jana kitu gani,tumeongea tangia Jana kuwa mondi anapaswa kujiboresha kwenye mazoezi ya kuimba liveBwah bwah! Tunune wakati mwenzenu hizo tuzo keshawahi kuchukua! Btw, let's keep it this way: "E bhana jana Ali Kiba kapiga bonge la show... show la karne ambalo halijapata kutokea duniani!" Does it change anything? Sana sana ukienda kwa mashabiki wa WizKid watakuambia Starboy kapiga bonge la show! Ukienda kwa mashabiki wa Yemi Alade nao watakuwa Yemi kapiga show la kufa mtu and so on!
But anyway, I can understand you guys... King HAJAWAHI kupata venue kubwa kama ya jana kwahiyo mna kila sababu ya kujivuna! Kwa mashabiki wa Diamond waliozoea venues kama zile bila kusahau MIJIMITUZO MIKUBWA MIKUBWA kama ile ya Best African Act, Best Act (Worldwide); katu hawawezi kuona suala la performance ni big issue!!!! So, I can understand you guys... si vibaya kujivuna hata kwa kidogo upatacho ingawaje mnaonekana kiroja kushangilia kitu ambacho hakipo!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mshakosaaa!!Ndo maajabu ya mashabiki wa Kiba haya.... kwahiyo Diamond kakosa tuzo sasa Kiba kapata nini? Halafu mbona unarudia rudia suala la Kiba wakati nishakuambia mimi sio shabiki wake?! Au ulitaka nimsifie ame-perform vizuri?! Binafsi hamna cha ajabu nilichokiona zaidi ya watu kujifariji! Kwenye soka Watanzania utawasikia "hata kama timu imetolewa lakini imetolewa kiume...!" Yote haya ni kujifariji tu! Hata wewe leo unamkana Kiba unajua kabisa kwamba unajifariji tu... plain and clear; TUMEKOSA TUZO na mengine yote ni kelele tu za kukosa!
HAYAKUWA 7 YALIKUWA MA5, ANAYESHIKILIA REKODI HIYO YA KUCHUKUA YALE MATAKATAKA NI DIAMOND YEYE NDIO ALIYACHUKUA 7 NA HUWA HAYAHESABII KAMA ALIWAHI KUCHUKUA UCHAFU ULE.Waambie hawa wajinga wajinga humu kina matola wanaojiona ma genius!
Kiba aonyeshe yake ya miaka ya nyuma tuone kashinda nini kimataifa zaidi ya yale mabati 7 yenye kutu ya Kilimanjaro awards aliyopigiwa debe na kina wema
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We are talking about a current issue, ukitaka history nenda makumbusho
KIBA KAPATA ....... ??hahaaaahhaaaa!
woyoooooo!!
mmekosa hamjakosaaa......!!!!
wote tuuu!!!KIBA KAPATA ....... ??
Kwanza ungenisoma kwa vituo tangu mwanzo hoja yangu ni kwamba mwaka huu tumekosa tuzo na hapa kilichopo ni kujifariji tu! Lakini ni nyinyi wewe wenyewe mliojifunga vibwebwe vya chereko kwamba Kiba kafanya bonge la show! Sasa ni nani hapo aliyekaa kitimu! Hata wewe ni kv tu Kiba katoka kapa vinginevyo ingekuwa balaa tupu!!mshakosaaa!!
mie nshaachaga utimu binamu
huku nakuja kupiga story tu za wasanii!!
huu upuuzi wa timu nshaucha hauna manufaaa!!
poleni msijali mwakani mtapata!
team kiba wao hawajazoea tuzo!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hahhaa sawa banaa.poleni sana hahahaaaaaa!!!
hahaaaaaahhhaa!
mmekosaaa!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mie bina...!Kwanza ungenisoma kwa vituo tangu mwanzo hoja yangu ni kwamba mwaka huu tumekosa tuzo na hapa kilichopo ni kujifariji tu! Lakini ni nyinyi wewe wenyewe mliojifunga vibwebwe vya chereko kwamba Kiba kafanya bonge la show! Sasa ni nani hapo aliyekaa kitimu! Hata wewe ni kv tu Kiba katoka kapa vinginevyo ingekuwa balaa tupu!!
Usitupigie kelele we mbwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mie bina...!
mie sina timu mshabiki wa kawaida tu!
ndo maana hunioni hata kwenye hizo mada za kitimutimu!
show zote mbili sijaziona wala nn
nililala zangu miee.....!!!
poleni wenye timu zenuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
asante Mungu akubariki kaka....!!![emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usitupigie kelele we mbwa