MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

Ila jua kuwa DIAMOND kakosa mtv kapata AEA 1 NA AFRIMA 1.Kwahiyo DIAMOND mtoe kwenye furaha yako kwa kudhani amekosa,ila kama vipi nuna maana kapata kwingine.
Hahaaaa hzo AEA. Ni tuzo za wapi mbona hazijulikana labda za uchochoroni kwa Africa mtvbase ndo kubwa na za heshima
 
Ila jua kuwa DIAMOND kakosa mtv kapata AEA 1 NA AFRIMA 1.Kwahiyo DIAMOND mtoe kwenye furaha yako kwa kudhani amekosa,ila kama vipi nuna maana kapata kwingine.
Kaka mbona povu linakutoka sana nn tatzo
 
Na vipi kuhusu kiba?Maoni yako tafadhali.
 
Ile nyota iliyozimika Mombasa imeziponza nyota nyingine ambazo zipo nayo kwenye galaxy moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…