Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah tumekua best looserTuzo zilizobaki ni ngumu zaidi kwa watanzania kupata dia 1 rayvanny 1 kiba 1/2....Tusubiri mwakani.
Hata mie huwa naumia sana aiseeeNimefurahi Wizkid ameshinda, anakosaga tuzo sana. Atafurahia sana
Najua Diamond nae atamfurahia kwa kweli
Sasa mwenye swagger uko wapi?? Poor uSas kwel kiukwel kiba mbona analeta ushamba au kwa kuw ni 1st tym, wote wanajua kuwa kiba from tz sas bendera ya tz kwny kiti chake mpauko et mfalme ya nn mamb mengn kiba bwana [HASHTAG]#swaggless[/HASHTAG]
Natamani niende kulala.. Lakini kama nimewekewa super glue...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani usinchekeshe
nipo mkuu namfuta mond na sallam machozi hapaHabari miss upo, nakusalimia tu mkuu wangu
Ooohe tv pia wanaonyesha
Hivi diamond hayupo kwenye category nyinginenipo mkuu namfuta mond na sallam machozi hapa
Ingia you tube andika mtv mama 2016 iveDah anayejuwa anielekeze nitazame online jamani
Mwache awakilishe nchi,Sas kwel kiukwel kiba mbona analeta ushamba au kwa kuw ni 1st tym, wote wanajua kuwa kiba from tz sas bendera ya tz kwny kiti chake mpauko et mfalme ya nn mamb mengn kiba bwana [HASHTAG]#swaggless[/HASHTAG]