Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Wewe una uhakika huyo ni mwanaume? Kuvaa suruawali si kigezo cha uanaume, siku hizi hata wake za watu wanavaa sarawili!!Hahahaaa star boy humuoni?? Black coffee jee??? Kwenye hicho kipengele sahau kwa domo kuchukua hiyo tuzo, Mark my word, labda msubiri kipengele kingine.. Halafu unavomuita mwanaume mwenzio kwa mapozi et "dai" mmmmh darisalama hii Ina mambo
Ndio afu ni mwanaume asee daah bongo Ina vituko [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ....eti dai.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ni moto kiasi hicho mbona BET anakosa miaka yote.huyo jamaa ni moto mpaka DRAKE kamshirikisha kwenye wimbo wake ujue dogo anajua kweli halafu hana sifa za kijinga
Hahahaaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] u made my day aseeWewe una uhakika huyo ni mwanaume? Kuvaa suruawali si kigezo cha uanaume, siku hizi hata wake za watu wanavaa sarawili!!
Bahati tu huyo Domo siyo basha otherwise wanhecheaga sana muhogo wa jang'ombe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaaa star boy humuoni?? Black coffee jee??? Kwenye hicho kipengele sahau kwa domo kuchukua hiyo tuzo, Mark my word, labda msubiri kipengele kingine.. Halafu unavomuita mwanaume mwenzio kwa mapozi et "dai" mmmmh darisalama hii Ina mambo
ushawai kumuona amehudhuria hizo tuzo?? na hajawai kuomba watu wampgie kura unajua kwann?Kama ni moto kiasi hicho mbona BET anakosa miaka yote.
hana jipya skuiziNaona davido wamemsahau kabisa
wamweke kiba..Jamani mambo yakibaki hivo hivo sioni kama kijana wetu domo atabeba tuzo hapo
Ebu tusubiri category ingne
Halafu Kiba naye wamuweke hata kipengele cha msanii chipukizi jamani wakae hata na kina harmonize uko. Itakuwa poa watanzania wakiongezeka kdogo
anaoshindana nao sio tatizo kabisaNdugu angalia anao shindana nao hapo!!
Bas wacha wanaotaka kupigiwakura, waombe wapigiwe na washinde.ushawai kumuona amehudhuria hizo tuzo?? na hajawai kuomba watu wampgie kura unajua kwann?
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa kiba anaingiaje kule[emoji23][emoji23][emoji23]Hamna diamond huwa anahonga huko ili King Kiba asiwekwe, kiba ameshalijua hilo haumizi bichwa hahah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmecheka hadi nimepaliwa. Jaman dai [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio afu ni mwanaume asee daah bongo Ina vituko [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ata perform yeyeHa ha aah Kibakuli hayupo ,yeye zake tuzo za kili tu bhaaas ndio saizi yake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] et "dai" (diamond) tena kwa pozi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
We mtoto wa kike una mambo wewe.. Hebu mtake radhi bhana..
Eti anamuitaje mwanaume mwenzie!!?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
at the end mshindi atajulikanaBas wacha wanaotaka kupigiwakura, waombe wapigiwe na washinde.
Me and I ntake radhi bhana kwani kumuita mtu kwa kifupi ndio umelegeza sauti au??Hahahaaa star boy humuoni?? Black coffee jee??? Kwenye hicho kipengele sahau kwa domo kuchukua hiyo tuzo, Mark my word, labda msubiri kipengele kingine.. Halafu unavomuita mwanaume mwenzio kwa mapozi et "dai" mmmmh darisalama hii Ina mambo
Wizkid ndiye aliyemshirikisha drake kwenye ojuelegba remixhuyo jamaa ni moto mpaka DRAKE kamshirikisha kwenye wimbo wake ujue dogo anajua kweli halafu hana sifa za kijinga
Narudia tena ntake radhiNdio afu ni mwanaume asee daah bongo Ina vituko [emoji23] [emoji23] [emoji23]