Mtv Mama's 2016 Nominees live updates

Mtv Mama's 2016 Nominees live updates

Hahahaaa star boy humuoni?? Black coffee jee??? Kwenye hicho kipengele sahau kwa domo kuchukua hiyo tuzo, Mark my word, labda msubiri kipengele kingine.. Halafu unavomuita mwanaume mwenzio kwa mapozi et "dai" mmmmh darisalama hii Ina mambo
Wewe una uhakika huyo ni mwanaume? Kuvaa suruawali si kigezo cha uanaume, siku hizi hata wake za watu wanavaa sarawili!!

Bahati tu huyo Domo siyo basha otherwise wanhecheaga sana muhogo wa jang'ombe.
 
Wewe una uhakika huyo ni mwanaume? Kuvaa suruawali si kigezo cha uanaume, siku hizi hata wake za watu wanavaa sarawili!!

Bahati tu huyo Domo siyo basha otherwise wanhecheaga sana muhogo wa jang'ombe.
Hahahaaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] u made my day asee
 
Kura ndo zina determine ushindi kny MTV sio kuangalia mengine km BET. Kwahyo diamond anaweza akashinda kutokana na kura atakazopata. Sema wabongo wataanza vote 4 wizkid [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaaa star boy humuoni?? Black coffee jee??? Kwenye hicho kipengele sahau kwa domo kuchukua hiyo tuzo, Mark my word, labda msubiri kipengele kingine.. Halafu unavomuita mwanaume mwenzio kwa mapozi et "dai" mmmmh darisalama hii Ina mambo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

We mtoto wa kike una mambo wewe.. Hebu mtake radhi bhana..
Eti anamuitaje mwanaume mwenzie!!?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jamani mambo yakibaki hivo hivo sioni kama kijana wetu domo atabeba tuzo hapo
Ebu tusubiri category ingne

Halafu Kiba naye wamuweke hata kipengele cha msanii chipukizi jamani wakae hata na kina harmonize uko. Itakuwa poa watanzania wakiongezeka kdogo
wamweke kiba..
na tekno watamweka wapi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hamna diamond huwa anahonga huko ili King Kiba asiwekwe, kiba ameshalijua hilo haumizi bichwa hahah
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa kiba anaingiaje kule[emoji23][emoji23][emoji23]
kiba mpaka seven aweke mkazo, ahangaike
lakini yeye mwenyewe karidhika kabisa...
na kwenye mziki hahitajiki msanii asie na juhudi kwakweli.
 
We inaonekana unayemshabikia ni Nani so hakuna haja tena
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

We mtoto wa kike una mambo wewe.. Hebu mtake radhi bhana..
Eti anamuitaje mwanaume mwenzie!!?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] et "dai" (diamond) tena kwa pozi
 
Hahahaaa star boy humuoni?? Black coffee jee??? Kwenye hicho kipengele sahau kwa domo kuchukua hiyo tuzo, Mark my word, labda msubiri kipengele kingine.. Halafu unavomuita mwanaume mwenzio kwa mapozi et "dai" mmmmh darisalama hii Ina mambo
Me and I ntake radhi bhana kwani kumuita mtu kwa kifupi ndio umelegeza sauti au??
 
Back
Top Bottom