Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Wewe una uhakika huyo ni mwanaume? Kuvaa suruawali si kigezo cha uanaume, siku hizi hata wake za watu wanavaa sarawili!!Hahahaaa star boy humuoni?? Black coffee jee??? Kwenye hicho kipengele sahau kwa domo kuchukua hiyo tuzo, Mark my word, labda msubiri kipengele kingine.. Halafu unavomuita mwanaume mwenzio kwa mapozi et "dai" mmmmh darisalama hii Ina mambo
Bahati tu huyo Domo siyo basha otherwise wanhecheaga sana muhogo wa jang'ombe.